Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Siasa sio chuki mkuu....Huyu aachwe tu, naona anamtafuta wa kufa naye, baada ya kila aina ya ujinga aliofanya, anataka kumgeuzia Mbowe kibao aonekane mbaya.
Labda nimuulize kidogo, ikawaje akaenda kuibusu picha ya Magufuli akiwa marehemu licha ya madhambi aliyomfanyia jimbo la Kawe kwenye ule uchaguzi?
Ni ipi siri ya ule upendo wake, atuambie alifanyiwa nini na Magufuli sirini mpaka akajikuta anampenda wazi hadharani?
Baada ya yote hawa watu hukaa chini na kula na kunywa pamoja...