Halima Mdee: Mbowe alikuwa anatafuta huruma tu, hajawahi kuzungumza na Wazazi wangu

Wanaomhoji Hakina kwa sasa huwa wanakumbuka kumuuliza jinsi alivyofanikisha kwenda bungeni safari hii? Mchakato ulikuwaje?
 
Mbowe mhuni sana, mm niliwaambia, hata Mama Samia inabidi awe nae makini sana, Mbowe sio mtu wa kumkaribisha karibisha Ikulu, ni kuwa nae makini sana, mhuni.
 
Sorry simtetei ila umeishia kudai ni muhuni lakin uhuni wake ukowapi ndio bado ujaweka waz hapa
 
"Freeman Mbowe aliamua kutafuta huruma tu kwa wajumbe wa Baraza Kuu kwa kunitajia wazazi wangu, hajawahi kuzungumza na wazazi wangu hata siku moja kuhusu sakata hili, Nilisikitika, na sikuwa na nafasi ya kujibu," kauli ya Halima Mdee mara baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kusema kuwa alizungumza na wazazi wake kuhusu kuuacha Ubunge alionao sasa.

Chanzo: Dar Mpya
Hii issue ya covid 19 imeihaibisha taasisi nyeti sana ya usalama yani itasumbua sana huko tuendako
 
"Freeman Mbowe aliamua kutafuta huruma tu kwa wajumbe wa Baraza Kuu kwa kunitajia wazazi wangu, hajawahi kuzungumza na wazazi wangu hata siku moja kuhusu sakata hili, Nilisikitika, na sikuwa na nafasi ya kujibu," kauli ya Halima Mdee mara baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kusema kuwa alizungumza na wazazi wake kuhusu kuuacha Ubunge alionao sasa.

Chanzo: Dar Mpya
What is important ni kuwa alikusihi na kuendelea kulamba asali ya mkeo bulaya!! bungeni
 
"Freeman Mbowe aliamua kutafuta huruma tu kwa wajumbe wa Baraza Kuu kwa kunitajia wazazi wangu, hajawahi kuzungumza na wazazi wangu hata siku moja kuhusu sakata hili, Nilisikitika, na sikuwa na nafasi ya kujibu," kauli ya Halima Mdee mara baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kusema kuwa alizungumza na wazazi wake kuhusu kuuacha Ubunge alionao sasa.

Chanzo: Dar Mpya
So what?
 
Binafsi naona kama hii ni vita kati ya Mbowe na Halima, na sio tena Chadema na Covid19
CCM wakikununua lazima umtukane Mheshimiwa Mbowe.
Ndio mkataba wao na wale wote walionunuliwa kama kuku sokoni.

Mipango yote ya CCM tunaijua.

Swali ni je Mzee Mdee ataweza..?!

Kina ZITTO, Kitilo Mkumbo , Slaa, Mwambe Juliana Shoza na wengine wote waliotumika kumtukana Mhe, Mbowe walishindwa vibaya sana kwa aibu.
 
Sawa. Na hakuongea nae Nairobi? Hakuongea nae wakati akiwa mahabusu? Na je ina maana kuwa angeongea na wazazi wake angebadilisha msimamo wake?

Naona kama anaelekea kwa wakina Lijualikali.

Amandla....
Na nakumbuka jana nilisoma quote moja ya mbowe akisema pale pale mbele ya baraza kwamba Halima yupo hapa apewe nafasi ya kupinga maneno kwamba yeye mbowe aliongea na wazazi wake yeye akakaa kimya means amekubaliana nae.

Kutoka pale anasema tofauti,ingeleta maana kama angemjibu hivi pale pale kwenye baraza ila anachofanya sasa anazidi kuonekana alivyo mwendawazimu.
 
Halima hata kuolewa hataolewa
Mwenzake Zitto alizingua wakati alikuwa ameoa tayari ingawa kwa mwanaume asingekosa mwanamke.Kwa Halima basi Tena maana hakuna mwanaume anayeweza kuoa mwanamke mwenye hila,Muongo,ndumilakuwili na mwenye tamaa za ajabu ajabu.
 
Mbowe hana uadilifu wa kiuongozi hata kidogo. Ni muhuni huni tu. Mfano mdogo tu ni hizo sare mpya za chama, utadhani pendekezo la sare lilitolewa na Medie Kagere au John Bocco. CHADEMA ya sasa ovyo sana.
 
Wanaomhoji Hakina kwa sasa huwa wanakumbuka kumuuliza jinsi alivyofanikisha kwenda bungeni safari hii? Mchakato ulikuwaje?

kongole kwa hii hoja yako.

Halima alitakiwa aulizwe maswali yafuatayo.

1. Ni kikao gani cha Chadema kilipitisha majina yao kuwa wabunge wa viti maalum.

2. Ni kiongozi gani wa Chadema alijaza fomu za uteuzi za kina Halima na kuzipeleka Tume ya Uchaguzi.

Kama Halima angekuwa mkweli angeeleza mambo hayo mawili na suala hili lingefikia tamati.

Binafsi inanishangaza kwa VYOMBO VYA HABARI vya Tanzania vimeshindwa kudadisi mambo hayo mawili.

Cc Erythrocyte , Kalamu1, Nguruvi3
 
Katika kitu ambacho CCM inawapiga bao upinzani ni uwezo wa kutunza watu ! Si kwamba hawakwaruzani bali misingi ya chama inatambua kuwa chamacha siasa chochote msingi wake ni watu .

Leo hii unampiga chini mdee! Je unakumbuka sakata la Makamba na Kinana au lile la Nape au lile la Lowasa hawa wote hawakuwahi kufukuzwa CCM kwakuwa “Mtu si Mbwa”

Kuna wanachama wengi wenye uwezo pengine hata kuzidi wakina Mdee lakini Halima Mdee ni mmoja na nguvu iliyotumika kumtengeneza haiwezi kuachwa iende bure .Huhitaji kuwa mbobezi wa siasa kujua kuwa Mdee akienda kokote akasimama na mwanamama au mwanasiasa yoyote ataleta ushindani kwani “There is no bad publicity” .

CDM lazima ijifunze kutunza watu hii trend imeanzia kwakina Zitto na wengine ni udhaifu wao mkubwa na inawachelewesha kupata walau wabunge 100 .
hao unaosema wanajua kutunza watu elewa wanawatunza si kwakuwa ni wanachama tu bali ni sehemu ya serikali,kumbuka wamekula kiapo kutunza siri za serikali sasa unamwachaje mtu kama huyo aende anavyotaka tu" tafakari"
 
Katika kitu ambacho CCM inawapiga bao upinzani ni uwezo wa kutunza watu ! Si kwamba hawakwaruzani bali misingi ya chama inatambua kuwa chamacha siasa chochote msingi wake ni watu .

Leo hii unampiga chini mdee! Je unakumbuka sakata la Makamba na Kinana au lile la Nape au lile la Lowasa hawa wote hawakuwahi kufukuzwa CCM kwakuwa “Mtu si Mbwa”

Kuna wanachama wengi wenye uwezo pengine hata kuzidi wakina Mdee lakini Halima Mdee ni mmoja na nguvu iliyotumika kumtengeneza haiwezi kuachwa iende bure .Huhitaji kuwa mbobezi wa siasa kujua kuwa Mdee akienda kokote akasimama na mwanamama au mwanasiasa yoyote ataleta ushindani kwani “There is no bad publicity” .

CDM lazima ijifunze kutunza watu hii trend imeanzia kwakina Zitto na wengine ni udhaifu wao mkubwa na inawachelewesha kupata walau wabunge 100 .
Hapo ndipo wanapobugi CHADEMA,sina uhakika kama wamedhamiria kuwatimua kweli, inawezekana ikawa sinema tu hii.
Ila kama ni kweli,basi nawaambia Chadema wajifunze kusameheana ,kina Ester na wenzao 17 sio malaika,tunasaliti ndoa na tunasameheana sembuse chama ,Hawa dada zetu ni sio kama wale wapuuzi wengine waliokimbia chama kipindi kigumu cha miaka mitano ya nanii yule,walikomaa mwanzo mwisho.
 
"Freeman Mbowe aliamua kutafuta huruma tu kwa wajumbe wa Baraza Kuu kwa kunitajia wazazi wangu, hajawahi kuzungumza na wazazi wangu hata siku moja kuhusu sakata hili, Nilisikitika, na sikuwa na nafasi ya kujibu," kauli ya Halima Mdee mara baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kusema kuwa alizungumza na wazazi wake kuhusu kuuacha Ubunge alionao sasa.

Chanzo: Dar Mpya
Kazi ipo.

Ila chanzo Cha haya yote ni Magufuli kuvuruga chaguzi za Wabunge.
 
Huyu aachwe tu, naona anamtafuta wa kufa naye, baada ya kila aina ya ujinga aliofanya, anataka kumgeuzia Mbowe kibao aonekane mbaya.

Labda nimuulize kidogo, ikawaje akaenda kuibusu picha ya Magufuli akiwa marehemu licha ya madhambi aliyomfanyia jimbo la Kawe kwenye ule uchaguzi?

Ni ipi siri ya ule upendo wake, atuambie alifanyiwa nini na Magufuli sirini mpaka akajikuta anampenda wazi hadharani?
Duh mkuu
Ungeeendeleza kujenga hoja kama ulivyofanya kwenye paragraph yako ya Kwanza.

Kuhusu picha ni ubinadamu tu,
Mtu mwenye moyo wa nyama kuumia ni kawaida hasa mtu anapokutoka regardless maelewano yenu yalikuwaje.
Hoja yako huko chini naona ya kitoto.
 
Back
Top Bottom