Mbowe kaua wangweDj ni msanii sanii sana , tangu apange njama za kumuuwa Sabaya simwamini kabisa
Mpeleke mahakamaniMbowe kaua wangwe
Kwann msimpeleke mahakamani?Dj ni msanii sanii sana , tangu apange njama za kumuuwa Sabaya simwamini kabisa
Povu laHakuna vita wakati Mzee Mdee anajulikana n msaliti tu.Na pia kwa ss c mwanachama w chadema. Akizungumza zaidi ataonekana n anatumiaka na ccm.
Vitabu vya dini vinasema usimtegeme binadamu wao wakaona wajanja kipindi cha mwenda zake. Mbunge anaapishiwa garage?
Si alipelekwa mahakamani mkaanza kulialia eti mbowe sio gaidi.Mpeleke mahakamani
Hata ningekuwa mimi,ningewaza hivyo hivyo,Sabaya hakupaswa kuwepo mpaka leoDj ni msanii sanii sana , tangu apange njama za kumuuwa Sabaya simwamini kabisa
Mbona hajakana kuhusu kukutana Nairobi + Magereza?
"Freeman Mbowe aliamua kutafuta huruma tu kwa wajumbe wa Baraza Kuu kwa kunitajia wazazi wangu,hajawahi kuzungumza na wazazi wangu hata siku moja kuhusu sakata hili, Nilisikitika, na sikuwa na nafasi ya kujibu," kauli ya Halima Mdee mara baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kusema kuwa alizungumza na wazazi wake kuhusu kuuacha Ubunge alionao sasa.
Chanzo: Dar Mpya
Halima anadhani hawezi kuishi nje ya bungeSawa. Na hakuongea nae Nairobi? Hakuongea nae wakati akiwa mahabusu? Na je ina maana kuwa angeongea na wazazi wake angebadilisha msimamo wake?
Naona kama anaelekea kwa wakina Lijualikali.
Amandla....
Tangiapo anatumika na CCMHakuna vita wakati Mzee Mdee anajulikana n msaliti tu.Na pia kwa ss c mwanachama w chadema. Akizungumza zaidi ataonekana n anatumiaka na ccm.
Vitabu vya dini vinasema usimtegeme binadamu wao wakaona wajanja kipindi cha mwenda zake. Mbunge anaapishiwa garage?