Sikiliza kuanzia dakika ya 18:20Kasemaje? Mimi nafuatilia hapa kwa maandishi
Funding ndio nini? Nini cha ajabu kwa mwanaume kupenda wanawake? Kama unaona hilo ni tatizo basi ujue wewe ndio mwenye tatizo. Tutakuelewa tu kama wewe ni mke wake, mpango wake wa kando, mke wake wa zamani, mpango wa kando wa zamani au ni mwanamke unae mtamani lakini bahati mbaya ngekewa haijakuangukia).Imekuuma,mbowe ni funding sana huko chini
Ugoro mtupu wameongeaSijaelewa chochote mpaka sasa.
Alie elewa, tafadhali alifafanulie.
Pole weeee! Kwa taarifa yako vita imetangazwa, akina Halima wamedokeza tu silaha zao, CHADEMA ndio imepewa nafasi ijitafakari. Hakuna aliyeomba msamaha hapo. CC imeulizwa kiaina, are you ok tuendelee na vita? Are you ready tumalizane wenyewe kwa wenyewe?Hii turning waliyoifanya Halima na wenzake siyo mchezo aisee maana expectation ya watu ilikuwa tofauti kwa kila upande walichokuja nacho kimewamaliza wote na kurejesha mpira kati, watakuwa walipima cons na prons wakaona heri yaishe kwa mujibu wa press hatujui yale ya nyuma ya pazia
Kama ni kweli wamedhamiria hivyo basi chama chao kitaona namna ya kudeal nao
Ila la pili kwa maoni yangu nadhani wale waliowarubuni maana kiuhalisia wapo wameona impact ya kile walichofanya wamegundua kuna jinai nyingi sana ambayo kama ikienda kwa vyombo vya sheria mambo yataharibika wakaona eeh hili tuachane nalo kaombeni msamaha ili haya mambo yaishe
Mkuu hii kitu ipo kwenye mchakato wao. Hauwezi kuchukua hatua zaidi kwenda mbele kabla haujamaliza kwenye chama. Hapo wapo kimkakati zaidi.Hii turning waliyoifanya Halima na wenzake siyo mchezo aisee maana expectation ya watu ilikuwa tofauti kwa kila upande walichokuja nacho kimewamaliza wote na kurejesha mpira kati, watakuwa walipima cons na prons wakaona heri yaishe kwa mujibu wa press hatujui yale ya nyuma ya pazia...
Vita gani tena na viumbe ambao siyo wanachama wa CHADEMA?Pole weeee! Kwa taarifa yako vita imetangazwa, akina Halima wamedokeza tu silaha zao, CHADEMA ndio imepewa nafasi ijitafakari. Hakuna aliyeomba msamaha hapo. CC imeulizwa kiaina, are you ok tuendelee na vita? Are you ready tumalizane wenyewe kwa wenyewe?
Pia wamemuasa Mwenyekiti, wamemwambia usiwasikilize hivo vitoto, kumbuka tulipotoka na yepi tumefanya pamoja. Ondoa munkari, ondoa wahaka, ondoa jazba, think properly. We know that you know. Find a way to explain to them calmly. Talk sense into them or else....
Kwa kifupi, Mdee na time yake wamenywea, mpira umerudi kwenye chama.i
Chama kimeshamaliza kudeal nao kwa kuwatimua.Hii turning waliyoifanya Halima na wenzake siyo mchezo aisee maana expectation ya watu ilikuwa tofauti kwa kila upande walichokuja nacho kimewamaliza wote na kurejesha mpira kati, watakuwa walipima cons na prons wakaona heri yaishe kwa mujibu wa press hatujui yale ya nyuma ya pazia
Kama ni kweli wamedhamiria hivyo basi chama chao kitaona namna ya kudeal nao
Ila la pili kwa maoni yangu nadhani wale waliowarubuni maana kiuhalisia wapo wameona impact ya kile walichofanya wamegundua kuna jinai nyingi sana ambayo kama ikienda kwa vyombo vya sheria mambo yataharibika wakaona eeh hili tuachane nalo kaombeni msamaha ili haya mambo yaishe
Wataishije ndani ya CHADEMA ya sasa bila mshahara?Wajishushe, maisha yaendelee ndani ya CDM.
Unalipwa kumchafua?CHADEMA sio CCM, Halima Mdee alikuwa CHADEMA, katimuliwa, ndio maana juzi Bashiru aliwakaribisha rasmi wajiunge na CCM