Halima Mdee: Mimi pamoja na timu yangu (Wabunge 19) tutabaki kuwa WanaCHADEMA kindakindaki. Tutaenda kuyajenga ndani kwetu

Halima Mdee: Mimi pamoja na timu yangu (Wabunge 19) tutabaki kuwa WanaCHADEMA kindakindaki. Tutaenda kuyajenga ndani kwetu

Imekuuma,mbowe ni funding sana huko chini
Funding ndio nini? Nini cha ajabu kwa mwanaume kupenda wanawake? Kama unaona hilo ni tatizo basi ujue wewe ndio mwenye tatizo. Tutakuelewa tu kama wewe ni mke wake, mpango wake wa kando, mke wake wa zamani, mpango wa kando wa zamani au ni mwanamke unae mtamani lakini bahati mbaya ngekewa haijakuangukia).

Bila shaka kuna mambo ya msingi ya kupingana na Mbowe hili sio mojawapo. Na lile la kwamba anapenda kinywaji. Kwa lugha ya Malkia wetu wa zamani, so what?

Amandla...
 
Hahaha mpaka sasa kwa hawa waasi sijasikia chochote kipya zaidi ya wao kuzidi kujizalilisha.

Sisi tumeshawatimua wasithubutu popote kutumia muhuri wa chama maana tutawaburuza mahakamani.

By the way hayo macombat na t.shirt za chama watazitupa wenyewe.
 
Hii turning waliyoifanya Halima na wenzake siyo mchezo aisee maana expectation ya watu ilikuwa tofauti kwa kila upande walichokuja nacho kimewamaliza wote na kurejesha mpira kati, watakuwa walipima cons na prons wakaona heri yaishe kwa mujibu wa press hatujui yale ya nyuma ya pazia

Kama ni kweli wamedhamiria hivyo basi chama chao kitaona namna ya kudeal nao

Ila la pili kwa maoni yangu nadhani wale waliowarubuni maana kiuhalisia wapo wameona impact ya kile walichofanya wamegundua kuna jinai nyingi sana ambayo kama ikienda kwa vyombo vya sheria mambo yataharibika wakaona eeh hili tuachane nalo kaombeni msamaha ili haya mambo yaishe
Pole weeee! Kwa taarifa yako vita imetangazwa, akina Halima wamedokeza tu silaha zao, CHADEMA ndio imepewa nafasi ijitafakari. Hakuna aliyeomba msamaha hapo. CC imeulizwa kiaina, are you ok tuendelee na vita? Are you ready tumalizane wenyewe kwa wenyewe?

Pia wamemuasa Mwenyekiti, wamemwambia usiwasikilize hivo vitoto, kumbuka tulipotoka na yepi tumefanya pamoja. Ondoa munkari, ondoa wahaka, ondoa jazba, think properly. We know that you know. Find a way to explain to them calmly. Talk sense into them or else....
 
Hii turning waliyoifanya Halima na wenzake siyo mchezo aisee maana expectation ya watu ilikuwa tofauti kwa kila upande walichokuja nacho kimewamaliza wote na kurejesha mpira kati, watakuwa walipima cons na prons wakaona heri yaishe kwa mujibu wa press hatujui yale ya nyuma ya pazia...
Mkuu hii kitu ipo kwenye mchakato wao. Hauwezi kuchukua hatua zaidi kwenda mbele kabla haujamaliza kwenye chama. Hapo wapo kimkakati zaidi.

Wanakata rufaa za ndani, kwa sababu wenye maamuzi ni walewale lazima watawapiga chini. Sasa kitakachofuata wataingia mahakamani na hapo mchezo wote ndio utakuwa umefika mwisho.

Kituo ni mahakamani huku kwingine kote ni kukamilisha mchakato
 
Pole weeee! Kwa taarifa yako vita imetangazwa, akina Halima wamedokeza tu silaha zao, CHADEMA ndio imepewa nafasi ijitafakari. Hakuna aliyeomba msamaha hapo. CC imeulizwa kiaina, are you ok tuendelee na vita? Are you ready tumalizane wenyewe kwa wenyewe?

Pia wamemuasa Mwenyekiti, wamemwambia usiwasikilize hivo vitoto, kumbuka tulipotoka na yepi tumefanya pamoja. Ondoa munkari, ondoa wahaka, ondoa jazba, think properly. We know that you know. Find a way to explain to them calmly. Talk sense into them or else....
Vita gani tena na viumbe ambao siyo wanachama wa CHADEMA?
 
Halima endelea kula raha za nchi mae,hawa wanaume ni wabinafsi mno mno..!Wewe ni Mbunge unayetambulika na Spika.Zingine zote kelele.
 
Kuna watu hapa JF waliamini na bado wanaamini Halima Mdee anaweza kwenda kinyume na Mbowe.

Siyo rahisi.

Halima Mdee hawezi kuiacha CHADEMA hata akikumbatiwa na nani nje ya CHADEMA.

Mungu wa mbinguni awabariki.

Maendeleo hayana vyama!
 
Aisee nchini kwetu, uwezo wa waandishi wa habari kuuliza maswali ni mdogo sana
 
Wapinzani wa CHADEMA ndio walofanikiwa sana katika sakata lote hili, wakati sakata la kununua wabunge hao wadada walikua wagumu sana, wakachezesha akili vya kutosha wakafanikiwa kwa 100% kuwachomoa katika chama, waliopata hasara ni CHADEMA kupoteza viongozi na wanachama wengi kwa wakati mmoja
Kwa kifupi, Mdee na time yake wamenywea, mpira umerudi kwenye chama.i
 
Halima anazunguka mbuyu., Swali ni kwanini wameenda bungeni kuapa? Kwanini Nusrat hanje katolewa jela saa 1:30 usiku siku ya pili moja kwa moja bungeni kuapa??
 
Mpaka sasa hivi hawajajibu maswali yenye tija, kwa mfano: Nani aliwasainia fomu na kugonga mihuri? Nusrat Hanje amefika fikaje bungeni? Imekuaje process zote zile zienda discreet kiasi kile mpaka wameapishwa hakuna mtu aliyekuwa anajua? Na pia Leo asipoikana hiyo nafasi yake ya ubunge wa kupewa apite hivi asijilazimishe kuwa mwana Chadema. Aamie hata CCM maana nacho ni Chama 😂
 
Hii turning waliyoifanya Halima na wenzake siyo mchezo aisee maana expectation ya watu ilikuwa tofauti kwa kila upande walichokuja nacho kimewamaliza wote na kurejesha mpira kati, watakuwa walipima cons na prons wakaona heri yaishe kwa mujibu wa press hatujui yale ya nyuma ya pazia

Kama ni kweli wamedhamiria hivyo basi chama chao kitaona namna ya kudeal nao

Ila la pili kwa maoni yangu nadhani wale waliowarubuni maana kiuhalisia wapo wameona impact ya kile walichofanya wamegundua kuna jinai nyingi sana ambayo kama ikienda kwa vyombo vya sheria mambo yataharibika wakaona eeh hili tuachane nalo kaombeni msamaha ili haya mambo yaishe
Chama kimeshamaliza kudeal nao kwa kuwatimua.
Hii press yao ni ya kujifariji ila tayari wameshatimuliwa waendelee tu na ubunge wao wa gereji.
 
Back
Top Bottom