Halima Mdee: Mimi pamoja na timu yangu (Wabunge 19) tutabaki kuwa WanaCHADEMA kindakindaki. Tutaenda kuyajenga ndani kwetu

Halima Mdee: Mimi pamoja na timu yangu (Wabunge 19) tutabaki kuwa WanaCHADEMA kindakindaki. Tutaenda kuyajenga ndani kwetu

We kilaza kweli. Unataka wabaini ukweli gani Kama mtu kajipeleka kuapa Bila idhini ya chama?😀😀😀😀😀
Hasira zenu mnaapomwona mtu akihusiana na CCM ama kusikia Tu ana mahusiano na mtu wa CCM mnamtimua, Chama kitabaki kimekonda Hadi watu mliomo ndani!!

Fuatilieni Kwa kuthibitisha Kwanza hayo mahusiano yalisababishwa na Nani?
 
Waelezee juu ya ukandamizwaji na uminywaji wa haki ZA wanawake, Mwenyekiti amehodhi chama kama kampuni yake.
 
Kwa hiyo kinachowauma viongozi wa kiume wa CHADEMA ni kutokuwepo kwa wake zao ama?
 
Au sababu ni kwamba kwa kuwa Mbowe ameshindwa ubunge basi wote msiende bungeni?
 
Back
Top Bottom