Halima Mdee, Mwenyekiti wa BAWACHA aidha ajiuzulu au aondolewe haraka kabla hajaleta madhara kwa Chama

Huo utaratibu umesaidia nini toka enzi za kuunga juhudi mpaka kina Mdee? kufukuzwa leo itasaidia nini,unadhani CCM itawaacha CCM ni kuwafanya waendelee na ubunge wao,
Huo utaratibu umesaidia nini toka enzi za kuunga juhudi mpaka kina Mdee? kufukuzwa leo itasaidia nini,unadhani CCM itawaacha wafukuzwe?
CCM haiwezi kuzuia wasifukuzwe kwenye chama inachoweza kukifanya ni kuwasaidia washinde kesi ili wawe wabunge wa mahakama.
 
[QUOTEmass mge la nyasi, post: 37390763, member: 507668"]
Si ajabu hata wewe ungekuwa ndio Halima ungejikuta upo alipo sasa.

Watanzania tunatabia ya kutopenda kukosa vyote
[/QUOTE]
Mleta mada mpuuzi Sana
 
CCM haiwezi kuzuia wasifukuzwe kwenye chama inachoweza kukifanya ni kuwasaidia washinde kesi ili wawe wabunge wa mahakama.
Angalau likifanyika hilo, bado public intaendelea kuwaamini Chadema, na kuwaona CCM, Serikali na mahakama kuwa wanavuruga siasa za nchi, na kulielekeza Taifa kibra! Wafukuzwe tu!
 
Hivi leo ukiambiwa Magufuli hana nidhamu kesho unamfukuza.
 
CHADEMA watakuwa walikaa kwenye drawing board wakaconsider critically faida za kususia then wakacompare na hasara zake. Huhitaji kuwa na degree kuona kwamba kuna hasara nyingi zaidi ya faida....
Hizo zote ni speculations.
 
Iliposemwa Chadema ni kikundi cha wajanja wajanja wachache watu walipinga , ona mnavyolia lia. Halafu ndo mlikuwa mnataka mpewe nchi.
 
Hizo zote ni speculations.
Ndio maana duniani huwa Coups d’etat zinatokea hasa pale fikra za kiongozi mmoja zinapoelekea kuzamisha Nchi au Taasisi

Hili lilitokea bila shaka lina baraka za kiongozi japo mmoja. Katibu na Makamu Mwenyekiti wapo kama hawapo. No wonder Prof. Safari aliamuaga kujiondokea
 
400m si mchezo, ila kuna watu wenye misimamo unadhani Maria Sarungi au Fatma Karume hawajahongwa vyeo au pesa mbona bado wana misimamo yao.
Uliowataja wanatoka familia bora.
 
Wewe umejitoa chadema?
 
Kila mkipewa ushauri huwa mnatukana na kudhania wote ni CCM

Sio sifa hii
Na hilo ndilo tatizo lao
Mtu akienda kinyume nao hata kama ni kwa maslahi yao basi watamporomoshea matusi na kumbandika majina yote.
 
Kwani mmeambiwa wameenda kujiunga na ccm, nafikiri humo bungeni watafanya kazi ya opposition hivyo hakuna sababu ya kuwazuia.
 
Infact anayetakiwa kuwekwa pembeni ( to rescue himself) kwenye chama ni Anti ambaye amekitia hasara kubwa sana chama kifedha na kisiasa. Na baada ya kufanya hivyo yeye kuamua kusepa
Huyo ndiyo hasa liability kwa chadema. Hakuwa na mpango mkakati wa kugombea, alitegemea nguvu ya Amsterdam na wajinga wachache wa kizungu. Amsterdam aliamini Tanzania 🇹🇿 inaweza kuyumba kama walivyo yumbusha nchi za kiarabu na sehemu ya afrika.Lissu alijiona ni zaidi ya chama kumbe ni ghalasha na sasa wenye chama wana dictate terms
 
Ili chama kiendelee na kiaminike, CDM tafadhalini Fukuzeni hao wasaliti 19. Hawafai kabisa. Wamehongwa na kusahau utu
Halafu TAKUKURU imchunguze Halima kwa ile issue ya kusema kuwa alikamata kura, huyo dada atakuwa alitengeza kura zake.
 
Tatizo lenu mnabweka tu mmechanganyikiwa,hamjui nini kimetokea mnatoa hukumu
Mdee sio chizi,subiri tamko la chama chenu badala ya kukurupuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…