- Thread starter
- #61
Huo utaratibu umesaidia nini toka enzi za kuunga juhudi mpaka kina Mdee? kufukuzwa leo itasaidia nini,unadhani CCM itawaacha CCM ni kuwafanya waendelee na ubunge wao,
CCM haiwezi kuzuia wasifukuzwe kwenye chama inachoweza kukifanya ni kuwasaidia washinde kesi ili wawe wabunge wa mahakama.Huo utaratibu umesaidia nini toka enzi za kuunga juhudi mpaka kina Mdee? kufukuzwa leo itasaidia nini,unadhani CCM itawaacha wafukuzwe?