Pre GE2025 Halima Mdee na Wenzake 18 walifukuzwa CHADEMA kwa Usaliti, Nafasi yao Haipo tena na haitokuja kuwepo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hivi,wote wameshachukua kadi za Sisyemu?
 
Japo unaandika sana kuhusu Chadema ila yaonekana huijui hulka ya mwenyekiti wako...

Nakushauri usimalize maneno, hakuna kisichowezekana..
Nimeangalia profile yako nimeona wewe ni vegetable -vegetable , umekalia akili, kichwa kimebaki tupu.
 
Wewe ni nani ukisemee chama? Alipokelewa Lowasa, Membe sembuse akina Halima? Muda mwingine uwe unapunguza ujuha wako. mbona ruzuku mnapokea? rubbish
 
Wamesema wana
Wanataka kurudi

Kawe tunamsubiri
 
Wewe ni nani ukisemee chama? Alipokelewa Lowasa, Membe sembuse akina Halima? Muda mwingine uwe unapunguza ujuha wako. mbona ruzuku mnapokea? rubbish
Mnaochekesha n CCM kuwapigia makofi na kuimba mna imani na mtu aliyekuwa anawananga majukwaani kama Msigwa vile. Imani naye mliitoa wapi! Mlimwamini Kwa kazi gani aliyowafanyia nn. Wakati karibu miaka 20 alikuwa an anawapiga madongo. Kipi kinawafanya muimbe mna Imani naye Huwa nawashangaa sana.
 
Usiamini kila kitu kutoka kwa wanasiasa wa kitanzania! Ni hayo tu maana linalotokea wakati ile nilikutonya ukanikatalia!
 
Yaani hakuna habari inayoboa kama ya akina halima. Inajulikana kabisa bila kutoa uchi kwa mbowe hupendekezwi, leo hii kuwa nzima mnawasena akina halima, mkome! Waacheni wawe na uhuru wa kuamua
 
Wewe ndio hujui lakini Wenzako wanajua πŸ˜€πŸ˜€πŸ”₯
Mmm. Ingekuwa CCM ningesema umeshasoma upepo wa mwenyekiti kwani yeye ndiye CC, halmashauri na mkutano mkuu. Hiyo ni mihuri tu kuhalalisha maamuzi yake.

Kwa hiyo CHADEMA nako umeshapitiwa na upepo wa Mwenyekiti ambao Erythrocyte hana habari yake? Tuone kama Mbowe ana jeuri huko CHADEMA kama aliyo nayo SSH ndani ya CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…