johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kama walifukuzwa mbona bado wako bungeni? 🐼Covid-19 walishafukuzwa hao ,kama wanataka kurudi CDM wafuate taratibu za kujiunga na chama.
Kuna mmoja mke wa kitenge Nusrat Hanje alisema amechagua kula "WALI NYAMA"
Kwani Halima ni mwana CCM?Mbon CCM hawajampa uwaziri?
2025 agombee huko mbogamboga.
Hujui siasa japo wapenda siasa. Siasa hazina adui wala rafiki wa kudumu. Angalia scenario za Kenya za KANU, ODM, UDA, AZIMIO etcJembe Msaliti ndio jembe gani huyo?
Kwani naye Twaha Mwaipaya ni mwanamke?Utumboo huu aisee mbona mwenzie twaha mwaipaja alitoka?
Kama walifukuzwa mbona bado wako bungeni? 🐼
Halafu wamefanya nini hapo bungeni tangu waapishwe na ccm? eti sijui siasa!Hujui siasa japo wapenda siasa. Siasa hazina adui wala rafiki wa kudumu. Angalia scenario za Kenya za KANU, ODM, UDA, AZIMIO etc
Basi huwa hufuatlii mijadala ya bunge kwa kuwa saa zote uko kwenye mikutano ya Mbowe. Nenda kaombe Hansard utaona kazi zaoHalafu wamefanya nini hapo bungeni tangu waapishwe na ccm? eti sijui siasa!
Hivi waliokuteua na kukuapisha waweza kuwaambia nini? Mkuu sisi si wa kudanganywa kijingaBasi huwa hufuatlii mijadala ya bunge kwa kuwa saa zote uko kwenye mikutano ya Mbowe. Nenda kaombe Hansard utaona kazi zao
Uwe na akiba ya maneno comrade, kwenye siasa kila kitu kinawezekana. Ni kama Mwenyekiti wa CCM, Samia alipohutubia mkutano wa BAWACHA.Kutokana na kampeni za kijinga zinazoendelea hapa JF na kwingineko, za kutaka Msaliti Mdee na Wasaliti wenzake warejeshwe Chadema, Imebidi tumelazimika kuja kutoa Ufafanuzi.
Halima Mdee na wenzake, akiwemo Dadaangu Sophia Mwakagenda, Walifukuzwa Chadema na kuvuliwa Uanachama na Vikao halali vya Chama, kwa tuhuma za Aibu za Usaliti na Rushwa ya pesa Taslimu pamoja na kuhongwa Madaraka ya Ubunge (Waliapishwa gereji na Ndugai)
Usaliti walioufanya hawa Wamama umesababisha hasara kubwa kwa Nchi na kilichokuwa Chama chao, Chadema imeitisha vikao kadhaa vya dharula vyenye gharama kubwa kwa ajili ya kuwajadili, zimefunguliwa kesi za gharama kubwa mno huku wao wakilipwa mishahara batili na kulindwa na CCM na Serikali yake, Nani hajui hili?
Hawa hawastahili kusamehewa hata na Shetani na wala hatuna haja ya kupoteza muda kuwajadili tena.
Bali Ifahamike kwamba Walishafukuzwa Chadema tena hadharani, Viongozi wa Chadema kuhudhuria Msiba wa Mama Theresia Mdee aliyekuwa Mwanachama wa Chadema hakuhusiani chochote na Usaliti wa Mtoto wake.
Tumeona tuliweke wazi hili ili kuhitimisha chokochoko za Mamluki kila mahali .
KAMA UNAMPENDA MTU KUTOKANA NA SURA YAKE BASI NENDA KANYWE NAYE CHAI-JK NYERERE
Nimeandika nikijua wako watakaokuja na andiko kama lako, SijakurupukaUwe na akiba ya maneno comrade, kwenye siasa kila kitu kinawezekana. Ni kama Mwenyekiti wa CCM, Samia alipohutubia mkutano wa BAWACHA.
Ukitaka kujua ugumu wa ulichokieleza hapa, mwambie Mbowe atamke kama ambavyo umeandika hapa kuhusu Halima Mdee na wenzake.
Waswahili wana msemo mashuhuri sana unaoendana na ugumu wa suala la akina Mdee kwa Chadema, usemao; Tikiti baya limo shambani mwako.
Ova
Kakubali vipi msiba wa Mama yake kutumiwa na CCM?Nimemshangaa sana kukubali msiba wa mama yake kuwa kutumiwa na ccm.
Maisha haya hataa mzazi!!?
Yeye mwenyewe ni mwanaccmKakubali vipi msiba wa Mama yake kutumiwa na CCM?
Sasa nyinyi mnaumia nini?Yeye mwenyewe ni mwanaccm
Who are you? Are you the party owner? Who decide ? One person can decide?Kutokana na kampeni za kijinga zinazoendelea hapa JF na kwingineko, za kutaka Msaliti Mdee na Wasaliti wenzake warejeshwe Chadema, Imebidi tumelazimika kuja kutoa Ufafanuzi.
Halima Mdee na wenzake, akiwemo Dadaangu Sophia Mwakagenda, Walifukuzwa Chadema na kuvuliwa Uanachama na Vikao halali vya Chama, kwa tuhuma za Aibu za Usaliti na Rushwa ya pesa Taslimu pamoja na kuhongwa Madaraka ya Ubunge (Waliapishwa gereji na Ndugai)
Usaliti walioufanya hawa Wamama umesababisha hasara kubwa kwa Nchi na kilichokuwa Chama chao, Chadema imeitisha vikao kadhaa vya dharula vyenye gharama kubwa kwa ajili ya kuwajadili, zimefunguliwa kesi za gharama kubwa mno huku wao wakilipwa mishahara batili na kulindwa na CCM na Serikali yake, Nani hajui hili?
Hawa hawastahili kusamehewa hata na Shetani na wala hatuna haja ya kupoteza muda kuwajadili tena.
Bali Ifahamike kwamba Walishafukuzwa Chadema tena hadharani, Viongozi wa Chadema kuhudhuria Msiba wa Mama Theresia Mdee aliyekuwa Mwanachama wa Chadema hakuhusiani chochote na Usaliti wa Mtoto wake.
Tumeona tuliweke wazi hili ili kuhitimisha chokochoko za Mamluki kila mahali .
KAMA UNAMPENDA MTU KUTOKANA NA SURA YAKE BASI NENDA KANYWE NAYE CHAI-JK NYERERE
mbona mbowe amepokea ruzuku kwa mgongo wao, akiwatambua kuwa anapokea ruzuku ya wabunge wa chadema, na ameona ruzuku tamu kweli kweli.Kutokana na kampeni za kijinga zinazoendelea hapa JF na kwingineko, za kutaka Msaliti Mdee na Wasaliti wenzake warejeshwe Chadema, Imebidi tumelazimika kuja kutoa Ufafanuzi.
Halima Mdee na wenzake, akiwemo Dadaangu Sophia Mwakagenda, Walifukuzwa Chadema na kuvuliwa Uanachama na Vikao halali vya Chama, kwa tuhuma za Aibu za Usaliti na Rushwa ya pesa Taslimu pamoja na kuhongwa Madaraka ya Ubunge (Waliapishwa gereji na Ndugai)
Usaliti walioufanya hawa Wamama umesababisha hasara kubwa kwa Nchi na kilichokuwa Chama chao, Chadema imeitisha vikao kadhaa vya dharula vyenye gharama kubwa kwa ajili ya kuwajadili, zimefunguliwa kesi za gharama kubwa mno huku wao wakilipwa mishahara batili na kulindwa na CCM na Serikali yake, Nani hajui hili?
Hawa hawastahili kusamehewa hata na Shetani na wala hatuna haja ya kupoteza muda kuwajadili tena.
Bali Ifahamike kwamba Walishafukuzwa Chadema tena hadharani, Viongozi wa Chadema kuhudhuria Msiba wa Mama Theresia Mdee aliyekuwa Mwanachama wa Chadema hakuhusiani chochote na Usaliti wa Mtoto wake.
Tumeona tuliweke wazi hili ili kuhitimisha chokochoko za Mamluki kila mahali .
KAMA UNAMPENDA MTU KUTOKANA NA SURA YAKE BASI NENDA KANYWE NAYE CHAI-JK NYERERE
CCM,ACT na CHAUMA2025 Hawa wadada wanaelekea wapi mungu wa mbinguni?
Ahaa , kwa hiyo kwako wewe John tayari Msigwa keshakuwa “authority” ya uongozi wa CHADEMA. Yaani neno lake ni fact! Sawa.Mchungaji Msigwa amesema maamuzi ya Mwenyekiti ni ya mwisho ndio sababu alimkata Dr Slaa na kumleta Lowassa bila kuishirikisha Kamati Kuu