Halima Mdee na wenzake Washinda kesi dhidi ya CHADEMA. Waendelea kuwa wanachama wa CHADEMA. Kuendelea na Ubunge wao

Halima Mdee na wenzake Washinda kesi dhidi ya CHADEMA. Waendelea kuwa wanachama wa CHADEMA. Kuendelea na Ubunge wao

Tunakumbushana tu

Lolote laweza kutokea

Mh Dr Tulia Mwansasu PhD ni Spika wa Dunia nzima

Mlale Unono 😀😀
 
Tanzania hakuna mahakama, ni kangaroo courts za ccm ndizo zipo.

There is no courts in Tanzania but only ccm's kangaroo courts exist to do what pleases the ccm party. Bogus.
 
Screenshot_20231214-221326.jpg
 
Heeeee ,endelea kuamini kuwa mbowe anaweza fanya maamuzi yoyote bila baraka ya baba mkwe

Hayo umesema wewe. Baba mkwe wa Mbowe ana mamlaka gani ndani ya CHADEMA?. Yule ni mstaafu tu. CHADEMA Ina Vyombo vyake
 
Hivi ile michango wanayokamua wananchi maskini kwenye mikutano unafikiri ni hela ndogo?embu fikiria ruzuku ya bilion mbili kila mwezi na hata ofisi hawana ?cdm ni zaidi ya ngombe wa maziwa.
Hivi ile michango wanayokamua wananchi maskini kwenye mikutano unafikiri ni hela ndogo?embu fikiria ruzuku ya bilion mbili kila mwezi na hata ofisi hawana ?cdm ni zaidi ya ngombe wa maziwa.

Hivi zile tozo huwa mnapeleka wapi? Maana kila siku mnakopa nje
 
Mahakama hapo ipo sahihi. Haiwezekani uwepo kwenye kamati iliyowafukuza halafu tena iwepo kwenye wanaosikiliza rufaa.
 
with the same reasoning, unaweza kuwa hakimu kwenye jambo ambalo wewe ni mlalamikiwa?

Swali langu lilikuwa jepesi tu, kuwa unaweza kuwa mjumbe wa kamati kuu na usiwe mjumbe wa Baraza kuu?. Karibia za vyma vyote wajumbe wa halmashauri kuu ndio wanatengeza kamati kuu. Hawatokei hewani.
 
Mahakama hapo ipo sahihi. Haiwezekani uwepo kwenye kamati iliyowafukuza halafu tena iwepo kwenye wanaosikiliza rufaa.

Mahakama haijawa realistic kwenye uhalisia wa mambo. Kwa Tanzania huwezi kuwa mjumbe wa kamati kuu na usiwe mjumbe wa Baraza kuu bila au mjumbe wa halmashauri kuu. Sasa unataka mwenyekiti, Katibu mkuu, makamu mwenyekiti nk wasishiriki Baraza kuu wakati wao ni wajumbe Kikatiba? Mahamaka imewalinda akina mdee.
 
Sina nimeona vumbi likitimka ghafla mdee and the gang wanashangilia lissu na wenzie chalii ,chadema na mdee wamepata ushindi!
Mimi ninavyojua siasa huu mtego kwa akina mdee. Baraza likikaa likaridhia si itabidi wakimbilie mahakamani. Jaji anglisema hawa wasiguswe na combo chochote cha chadema mpaka uchaguzi mkuu
 
Wewe unajua wanapokea shilingi ngapi tusahihishe Mangi wangu Mkuu

Mimi sio mangi, tafadhali Sana. CHADEMA inachukua Ruzuku ya shilingi milioni 109 kwa mwezi na CCM inalamba bilioni 1.33 kwa mwezi .
 
Back
Top Bottom