Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wewe ukimwangalia mchaga unashindwa kumtambua?
Lakini kisheria huwezi kuwa mtoa hukumu ya kwanza halafu pia ukawepo wakati wa kusikiliza rufaa.Mahakama haijawa realistic kwenye uhalisia wa mambo. Kwa Tanzania huwezi kuwa mjumbe wa kamati kuu na usiwe mjumbe wa Baraza kuu bila au mjumbe wa halmashauri kuu. Sasa unataka mwenyekiti, Katibu mkuu, makamu mwenyekiti nk wasishiriki Baraza kuu wakati wao ni wajumbe Kikatiba? Mahamaka imewalinda akina mdee.
Law is about Principles. Na ndio mahakama imesimamia. Sasa ulitaka mahakama ihalalishe uvunjaji wa kanuni za haki asili kwa sababu tu setup ya vikao vya chama havitenganishi wajumbe?Mahakama haijawa realistic kwenye uhalisia wa mambo. Kwa Tanzania huwezi kuwa mjumbe wa kamati kuu na usiwe mjumbe wa Baraza kuu bila au mjumbe wa halmashauri kuu. Sasa unataka mwenyekiti, Katibu mkuu, makamu mwenyekiti nk wasishiriki Baraza kuu wakati wao ni wajumbe Kikatiba? Mahamaka imewalinda akina mdee.
Chadema bhana 😂 itafika 2050 na bado mtaendelea kumlaumu JPM, michongo yote ifanywe na mume wenu Mbowe halafu mnakuja kumlalamikia JPM
NA BADO MTALALAMIKA SANA TUUU.
😂😂😂 Lucas vs BoniyaiHivi nani alimwandalia ike hotuba ya kugombea? Ni huyu kijana wetu mpendwa
Lucas mwashambwa ?
Lakini kisheria huwezi kuwa mtoa hukumu ya kwanza halafu pia ukawepo wakati wa kusikiliza rufaa.
Law is about Principles. Na ndio mahakama imesimamia. Sasa ulitaka mahakama ihalalishe uvunjaji wa kanuni za haki asili kwa sababu tu setup ya vikao vya chama havitenganishi wajumbe?
Message ya hukumu hii ni kuwa miundo ya halmashauri/mabaraza makuu ya vyama hayafai kuwa vyombo vya rufaa vya kamati kuu. It's a precedent ambayo msajili[angekuwa na weled] alipaswa arekebishe kwenye vyama.
Tulia Akson uspika wake umetokana na batili, hivyo ni haramu.Ikumbukwe yeye kama yeye tu kafika hapo alipo kwa sababu ya figisu so kwake haki siyo msingi wa nafsi.
Kwa ufupi hawapaswi hata kushiriki baraza kuu linalojadili maamuzi yao ya kamati kuu.Labda waseme hivyo. Kwamba wakati wa kutoa maamuzi wale viongozi watoke nje.
Tuliyategemea hayo majibu kwa hisani ya spika na ccm kulinda legacy ya mwendaxakeHaya hapa ni baadhi ya Maelezo ya Jaji .
View attachment 2842497
Kama tulivyotarajia , Jaji ameamua hivi .
View attachment 2842542
====
Mahakama kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam imewapa ushindi Halima Mdee na wenzake 18 kwenye kesi yao waliyoiwasilisha Mahakamani hapo dhidi ya Uamuzi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wa kuwafukuza uanachama Wabunge 19 wakituhumiwa kwenda Dodoma kuapishwa bila idhini ya Chama.
Akisoma Hukumu hiyo Jaji Cyprian Mkeha amesema kitendo cha wajumbe wa Kamati Kuu iliyowafukuza kuwa tena wajumbe wa Baraza kuu ambalo lilisikiliza rufaa yao kinaondoa uhalali wa maamuzi ya Baraza Kuu "Baraza Kuu lilikwenda kinyume na kanuni ya kawaida ya kutokupendelea
Sasa yaani wewe unafikiri ninao huo muda wa kupoteza?😎
Atawavua vipi wakati rufaa yao haijasikilizwa?
Kaka wewe unachosema sheria iwe ni busara na sio msumeno.Hapo nakuelewa. Ila unafanyaje kwa Sasa kutenda haki kwa chama? Mahakama ingejikita kwenye haki na sio Principles ambazo ni more theoretical.
Tunakumbushana tu
Lolote laweza kutokea
Mh Dr Tulia Mwansasu PhD ni Spika wa Dunia nzima
Mlale Unono 😀😀
Mbona Chama cha Demokrasia kiliwahi kuteua Mgombea urais 2015 bila ya kufuata Demokrasia inachojinasibisha nacho ?Ni Spika wa chama Cha wabunge kimataifa sio duniani. Bunge ni sovereign huwezi kuwa Rais wa mabunge duniani. Uwe muelewa.