Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya hapa ni baadhi ya Maelezo ya Jaji .
View attachment 2842497
Kama tulivyotarajia , Jaji ameamua hivi .
View attachment 2842542
====
Mahakama kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam imewapa ushindi Halima Mdee na wenzake 18 kwenye kesi yao waliyoiwasilisha Mahakamani hapo dhidi ya Uamuzi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wa kuwafukuza uanachama Wabunge 19 wakituhumiwa kwenda Dodoma kuapishwa bila idhini ya Chama.
Akisoma Hukumu hiyo Jaji Cyprian Mkeha amesema kitendo cha wajumbe wa Kamati Kuu iliyowafukuza kuwa tena wajumbe wa Baraza kuu ambalo lilisikiliza rufaa yao kinaondoa uhalali wa maamuzi ya Baraza Kuu "Baraza Kuu lilikwenda kinyume na kanuni ya kawaida ya kutokupendelea
Za mchongo.Hizi Mahakama haziko HURU zinaendeshwa na kwa utashi wa Viongozi wa CCM.
Mahakama za Mchongo.
Mchongo wa kiwango cha Juu....Mahakama za Mchongo.
Nyie ni makamanda uchwara😁Ndo ukweli wenyewe..!!! Yule RA alisema simu moja tu maamuzi yanabadilika..!!
Kwa hili suala inapaswa ajiuzulu, inatosha sasa. Cha ajabu baraza kuu halitoitwa mpaka mwakani June kuja kujadili hukumu ya leo? Aisee huyu jamaa atupishe.
Shauri yako😎Wewe akili yako imeathirika na magonjwa mbalimbali.
Shida CHADEMA hawakutafakari kwa kina,yaani CCM wakubali kabisa mafungu ya fedha za kusaidia Demokrasia yasiingie nchini!Jaji hawezi kwenda kinyume na maelekezo kutoka juu. Bunge lazma liwe na wapinzani ili kuendelea kupata msaada kuoka kwa mabeberu.
Bunge kun kamati lazma ziongozwe na wapinzani na huwezi kutoa wote.
JIWE aliambiwa kwa hasira akawakataa wote, akawafuta wapinzani wote ila baadae akashauriwa na wastaafu ndio akawapachika hawa VIRUSI-19.
Wataam wa mambo tunajua wataambiwa wakate rufaa ambayo itawekewa mapingamizi, na mapinga yatasikilizwa by december 2024 wakati tunaingia uchaguzi mkuu, haitokaa itokee kusemwa kwamba walikuwa haramu, yaani legasi ya mwendazake ichafuliwe?
Mahakama inayohaki ya kuzichallenge katiba zozote za taasis. Pili mtu asipohisi kutendewa haki na taasisi ni mahakama ndio yenye haki ya kupitia maamuzi-unadhani taasisi hizi zisingehojika, watu wake ukandamizwaji ungekuwaje? Nasema haya bila kukwepa ubovu wa mahakama zetu. Tatu hata hukumu hii imeangalia uhalali wa wajumbe wa baraza kuu ndio maana ikahitimisha ilikuwa ni impartial...sidhani kama Jaji alitakiwa kui-challenge katiba ya Chadema.
..alichotakiwa kuangalia ni kama Wajumbe wa Baraza Kuu lililowafukuza kina Mdee ni wajumbe halali kwa mujibu wa Katiba ya Chadema.
CHADEMA wakienda Mahakama rufani wanashinda. Mahakama kuu ni kama Mahama ya Mwanza Manzese tu. Afadhali hata Mahakama ya Hakimu Mkaazi kuliko Mahakama Kuu.
Mahakama Kuu ya Bongo ni sehemu ya ku sodomy sheria
Haya hapa ni baadhi ya Maelezo ya Jaji .
View attachment 2842497
Kama tulivyotarajia , Jaji ameamua hivi .
View attachment 2842542
====
Mahakama kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam imewapa ushindi Halima Mdee na wenzake 18 kwenye kesi yao waliyoiwasilisha Mahakamani hapo dhidi ya Uamuzi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wa kuwafukuza uanachama Wabunge 19 wakituhumiwa kwenda Dodoma kuapishwa bila idhini ya Chama.
Akisoma Hukumu hiyo Jaji Cyprian Mkeha amesema kitendo cha wajumbe wa Kamati Kuu iliyowafukuza kuwa tena wajumbe wa Baraza kuu ambalo lilisikiliza rufaa yao kinaondoa uhalali wa maamuzi ya Baraza Kuu "Baraza Kuu lilikwenda kinyume na kanuni ya kawaida ya kutokupendelea
Wala hakuna haja ya kukata rufaa ni kuwapotezea tu. Kila kitu kiko wazi.CHADEMA wakienda Mahakama rufani wanashinda. Mahakama kuu ni kama Mahama ya Mwanza Manzese tu. Afadhali hata Mahakama ya Hakimu Mkaazi kuliko Mahakama Kuu.
Mahakama Kuu ya Bongo ni sehemu ya ku sodomy sheria
Haya...endeleeni na ubunge[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ina maana akina Peter Kibatala sijui Kibatali ‘wakili msomi’ na wenzake wamegonga MKENGE WA JOGOO? [emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Haya...endeleeni na ubunge
Endeleeni kupokea mishahara+marupurupu
Ova