Halima Mdee na wenzake Washinda kesi dhidi ya CHADEMA. Waendelea kuwa wanachama wa CHADEMA. Kuendelea na Ubunge wao

Hizi Mahakama haziko HURU zinaendeshwa na kwa utashi wa Viongozi wa CCM.
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Siasa safi sana ! Naunga mkono hoja maana huku hawawatambui lakini kule wanavuta ruzuku kila mwezi inayotokana na wasiotambulika! Sasa kama siyo ‘paradox’ si itakuwa ‘contradiction’? Sasa dawa yake ni bora wabaki bungeni!
Paradox = a seemingly absurd or contradictory statement or proposition which when investigated may prove to be well founded or true.
 
Kwa hili suala inapaswa ajiuzulu, inatosha sasa. Cha ajabu baraza kuu halitoitwa mpaka mwakani June kuja kujadili hukumu ya leo? Aisee huyu jamaa atupishe.

..kama Jaji anasema Baraza kuu halikuwa halali kusikiliza rufaa ya kina Mdee basi uamuzi wa Kamati Kuu ya Chadema unasimama.

..Kina Halima sio wanachama wa Chadema mpaka pale kikao cha Baraza Kuu chenye wajumbe sahihi kulingana na hukumu ya Jaji kitakapoketi kusikiliza rufaa yao ikiwa wataamua kukata rufaa tena.
 
Shida CHADEMA hawakutafakari kwa kina,yaani CCM wakubali kabisa mafungu ya fedha za kusaidia Demokrasia yasiingie nchini!
Wanataka wakubwa wakale wapi?

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
..sidhani kama Jaji alitakiwa kui-challenge katiba ya Chadema.

..alichotakiwa kuangalia ni kama Wajumbe wa Baraza Kuu lililowafukuza kina Mdee ni wajumbe halali kwa mujibu wa Katiba ya Chadema.
Mahakama inayohaki ya kuzichallenge katiba zozote za taasis. Pili mtu asipohisi kutendewa haki na taasisi ni mahakama ndio yenye haki ya kupitia maamuzi-unadhani taasisi hizi zisingehojika, watu wake ukandamizwaji ungekuwaje? Nasema haya bila kukwepa ubovu wa mahakama zetu. Tatu hata hukumu hii imeangalia uhalali wa wajumbe wa baraza kuu ndio maana ikahitimisha ilikuwa ni impartial.
 
CHADEMA wakienda Mahakama rufani wanashinda. Mahakama kuu ni kama Mahama ya Mwanza Manzese tu. Afadhali hata Mahakama ya Hakimu Mkaazi kuliko Mahakama Kuu.
Mahakama Kuu ya Bongo ni sehemu ya ku sodomy sheria

..Kama Baraza kuu sio halali kuamua rufaa ya kina Mdee basi uamuzi halali tunaobakiwa nao ni wa Kamati kuu ya Chadema.

..unapokuwa umekata rufaa kwa sheria za Tz unaendelea kutumikia adhabu mpaka pale rufaa yako itakaposikilizwa.
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ina maana akina Peter Kibatala sijui Kibatali ‘wakili msomi’ na wenzake wamegonga MKENGE WA JOGOO? [emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ina maana akina Peter Kibatala sijui Kibatali ‘wakili msomi’ na wenzake wamegonga MKENGE WA JOGOO? [emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Haya...endeleeni na ubunge
Endeleeni kupokea mishahara+marupurupu

Ova
 
Huyu Felista Njau si ndio yule clip yake imetrend sana siku za hivi karibuni akiongea na sijui wanachuo wale au mabinti kuwa alianza kugombea akiwa na miaka 19 akaja kupata ubunge akiwa na niaka 41? Akasema Money talks au ni mwingine?

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Haya...endeleeni na ubunge
Endeleeni kupokea mishahara+marupurupu

Ova

Na kule akina Mbowe na wenzake wakiendelea kuvuta ruzuku kila mwezi inayotokana na akina Mdee kuwepo bungeni. Na wakileta fyoko kukata rufaa, hiyo kesi itamalizika 2027, wallahi tena.
 

Na kule akina Mbowe na wenzake wakiendelea kuvuta ruzuku kila mwezi inayotokana na akina Mdee kuwepo bungeni. Na wakileta fyoko kukata rufaa, hiyo kesi itamalizika 2027, wallahi tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…