Halima Mdee na wenzake watinga Bungeni licha ya CHADEMA kutangaza kuwafukuza rasmi

Hapana, barua rasmi ndio kila kitu, kwasababu imeshaonekana hawa jamaa wanalindwa na Spika wa CCM na serikali yao, hivyo lazima ipelekwe barua [Mnyika ameshakiri kuipeleka], sasa kilichobaki ni Spika kukiri kuipokea na kuifanyia kazi.

On top of everything, ofisi zote hufanya kazi kwa maandishi, sio maneno ya mitandaoni. au magazetini.

Hii hoja unayoileta hapa, ndio ilitumiwa na Ndugai wakati ule kuwakingia kifua hao wahuni. Mpaka mdau mmoja huku nikamsoma akasema Mnyika akipeleka hiyo barua safari hii apigwe na picha kabisa, au arekodi na video.

Hii ifanyike ili kuondoa ile dhana iliyojitokeza mwanzo ofisi ya Spika kusema haikupokea barua, wakati Mnyika na Chadema walisema walipeleka.
 
MWENDAZAKE ana mwaka na miezi kadhaa tunga afariki lakini hakauki kwenye mabakuli (midomo) ya baadhi ya wanajF hapa, kana kwamba hakuna vitu vya kujadili.
Kwa hakika, wanaokerwa na JPM kutajwa vibaya kila wakati wawe wavumilivu tu. Kwa watu wenye akili timamu na upeo wa kutofautisha kati ya uongozi na uharamia, uharibifu uliofanya 2016 hadi 2021 (March) hauwezi kusahaulika hadi kizazi hiki kitapokuwa kimeondoka duniani. Aidha huko mbele tujiandae kwa kesi mahakamani za watu waliotumia ofisi za umma na rasilmali vibaya eti kwa maagizo yake!
 
hii nchi mwendazake alitaka kuiharibu vibaya sana, sema mkono wa Bwana umetuokoa !! mambo kama haya ni aibu kubwa kimataifa, looks like we're not organized & uncivilized.
Mstari mmoja ulioelezea kila kitu juu ya nchi yetu.
 
Unataka kusemaje wewe, Jiwe ana mwaka amekufa bado amewashikilia masikio? Jiwe amekaa nao miez minne tuu akiwa na mamlaka..... nyie mmekaa nao mwaka mzima na ushehe mkiwa na mamlaka yote. .bado mnamlaumu
Shida kuu ni mzizi wa tatizo ambao unamfuata Rais aliepita, ndio maana watu wan refer to him. Kama sheria ingefuatwa haya yote wala yasingwezekana.
 
mshawafukuza basi inatosha msiendelee kuwafatafata.wanasiasa wa kweli ni wachache sana waliowengi ni njaa tu.
wajinga ni wale waliopata majera,kufa au kufungwa jela kwaajili ya kupigania siasa za njaa kama za hawa wapinzani wa tz.
Kwa hiyo wewe unataka iweje! Ni mpenda wanasiasa "njaa"?

Wanasiasa wa kweli (wachache) ni wapi? Ni kati ya hao "wajinga waliopata majeraha, kufa au kufungwa jela"?
 
Jinga wewe
 
hii nchi mwendazake alitaka kuiharibu vibaya sana, sema mkono wa Bwana umetuokoa !! mambo kama haya ni aibu kubwa kimataifa, looks like we're not organized & uncivilized.
Acha kupambana na Hayati, pambana na walio hai wakujibu
 
Jtatu watatimuliwa, barua ilichelewa fika
 
Mnyika alipeleka barua ila spika Ndugai akadai haina muhtasari wa kikao Wala minutes!! Kiufupi hizi formalities ndio zitakuzwa kiasi kwamba mpaka wataambiwa walete ushahidi wa kura zilivyopigwa na kuhesabiwa na watauliza kama mawakala walikuwepo??

Then umesema ofisi zote hufanyia kazi barua sio mitandao lakini DC Hapi amewahi ku summon Hilda Newton aende kituo Cha polisi Iringa kupitia post ya Twitter na Polisi kweli wakamsaka!!! Ndio maana nikasema tuache double standards kama compliance ni barua then iwe mpaka wanapokamata viongozi wa upinzani kuwepo na charge sheet kabisa!!!

So tuachane na story za compliance maadam wamevuliwa uanachama then waachwe tu waende bungeni ila ukisema compliance haikufuatwa ndio tunarudi kulekule 2020 ambapo wapinzani pekee walikua hawajui kujaza fomu ilihali zaidi ya 70% waligombea 2015 pia!!!
 
Hawa ni wakina nani? Ningependa kujua majina yao.

Amandla...
 
Then Kuna mtu atakwambia tuachane na rushwa huku makazini pamoja na kulipa Kodi ili serikali iwapatie wananchi wake maendeleo then Bunge chombo muhimu sana inawahujumu wananchi wake.

Nawaurumia sana waTanzania.
 
yule jamaa alikuwa katili sana bana, kumtundika marisasi yote hayo lissu kisa? kumnyima matibabu kisa? kumfuta na ubunge kisa? roo mbayaaaa

Mkuu mpigaji wa Risasi wa Lissu Ni mtu nayemjua kabisa. Na Ni mwanachama wa chama Kimoja cha upinzani mpaka Leo. Nakupa hiyo Breaking News. Sababu unaweza Mwuuliza. Ntakupa namba inbox usinitaje.
 
Tusibishane sana hapa, utaratibu wa kawaida unajulikana ofisi zote hufanya kazi kwa barua, hii ni kwa ajili ya records mbele yabsafari zikihitajika, na sio vinginevyo.

Suala la Happi na polisi huo ni ujinga tu wa CCM na mawakala wao, usiubebe huo ukaupeleka kwenye mambo mengine ya kawaida, utafeli.
 
hii nchi mwendazake alitaka kuiharibu vibaya sana, sema mkono wa Bwana umetuokoa !! mambo kama haya ni aibu kubwa kimataifa, looks like we're not organized & uncivilized.
Jina lake litaendelea kutikisa hata baada ya mauti yake!
 
Au ikifika watakuwa hawapo wa kuipokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…