Kilembwe
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 2,058
- 1,609
Asante sana..nimesoma kule Twitter Kigaigai anasema eti barua amepeleka ofisi ya Spika leo asubuhi saa mbili na dakika arobaini na mbili na amemkabidhi katibu muhtasi wa Spika...hapo kwa mtazamo wangu ndio naona Chadema wamekosea, kama ulivyosema utaratibu wa kupeleka barua za kiofisi kama hizi ni lazima kuwa na dispatch na iwe signed na mtu aliyepokea barua, kwa ofisi za bunge hili zoezi nadhani linaanzia ofisi ya masjala, sasa kama Chadema hawakupitsha hii barua masjala, yule katibu muhtasi wa spika anaweza ipoteza hii barua na ukakosekana ushahidi wa kuiwakilisha, vinginevyo Kigaigai awe alimsainisha dispatch rasmi ya bunge! na kwa mtindo huu Spika ana haki ya kusema hajaipata barua.....Hawajui utaratibu, ama wamefanya kusudi...sijui....Utaratibu wa barua ni dispatch book,sio maneno tu,aliyepokea barua ni nani?na sahihi yake kuwa kapokea.