Halima Mdee na wenzake watinga Bungeni licha ya CHADEMA kutangaza kuwafukuza rasmi

Halima Mdee na wenzake watinga Bungeni licha ya CHADEMA kutangaza kuwafukuza rasmi


Dodoma. Baadhi ya wabunge kati ya 19 waliofukuzwa uanachama na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wakiingia bungeni tayari kuendelea na shughuli za Bunge jijini Dodoma, leo Ijumaa Mei 13, 2022.

Jumatano ya Mei 11, 2022 Baraza Kuu la Chadema lilitupilia mbali rufaa za wabunge hao 19 kupinga uamuzi wa Kamati Kuu ya chama hicho kuwafukuza uanachama kwa tuhuma za usaliti kwa kukubali kwenda kuapishwa kuwa wabunge kinyume na msimamo wa chama hicho kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa 2020.
This cannot be a surprise to Tanzanians. It is BAU.
 
Wao ni lazima waeende bungeni. Barua ikishapelekwa ni sharti aloandikiwa akiri kuipokea.
Na kama kawaida ya spika wa ccm ni lazima atawasiliana na Ikulu kumpa maamuzi.

Kifupi tu ni kuwa Covid-19 wanaichafua Royal Tour!
Kukiri kuipokea ni dispatch book na si vinginevyo au kugongewa muhuri wa received na signature kwenye copy of original.
 
hii nchi mwendazake alitaka kuiharibu vibaya sana, sema mkono wa Bwana umetuokoa !! mambo kama haya ni aibu kubwa kimataifa, looks like we're not organized & uncivilized.
inafikirisha. mtu wa nje anawaza kama mhimili upo hivi,je wananchi wake watakuaje si ni takataka tu
 
Twende taratibu movie iko kati kati sahivi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Spika hawezi kubali maamuzi ya kihuni huni, haiwezekani kura zigeuzwe, kura ziliwapa ushindi akina Mdee, na kila mtu akaona,ila zikageuzwa geuzwq
 
Hivi mahakama inaweza kutengua maamuzi ya baraza kuu la chama? Nauliza tu
Ishu kubwa inayoangaliwa kwa admin decision ni legality.Je aliyetoa uamuzi ndiye mwenye power hiyo kisheria,kama ndivyo, je taratibu zilifuatwa ktk mchakato huo wa kutoa maamuzi.Kama zote tiki hamna shida.Kama tiki moja tu au haipo kbs basi shida ipo.Generally iko hivyo.
 
mshawafukuza basi inatosha msiendelee kuwafatafata.wanasiasa wa kweli ni wachache sana waliowengi ni njaa tu.
wajinga ni wale waliopata majera,kufa au kufungwa jela kwaajili ya kupigania siasa za njaa kama za hawa wapinzani wa tz.
Haaaa haaa. Yaaaanii hawa chadema tunawashangaaa kwelikweliii. Nyinyi kiongozi wao walishakaa kikao na kuwafukuza wamama wa watu, sasa cha ajabu wanachadema kuchakutwa wanafuatilia saaanaaa?? Au bado wanwataka??
 
Sawa kabisa, maana spika hajapata barua, na hatujui ataipata lini, na akiipata aite kamati zake za kumshauri, na yeye apate muda wa kufanya maamuzi, kama maamuzi yana makosa, anayakataa
Alipovuliwa uanachama Sophia Simba, hatukusikia longo longo hizi.

Paaap, aliondolewa ubunge kabla hata muda wa kukata rufaa kuisha.
 
hii nchi mwendazake alitaka kuiharibu vibaya sana, sema mkono wa Bwana umetuokoa !! mambo kama haya ni aibu kubwa kimataifa, looks like we're not organized & uncivilized.
Dole la mwendazake bado lipo makalioni mwako.
 
Spika atasema kwamba hajapata barua rasmi kutoka chadema inayo mtaarifu kwamba wamefukuzwa uanachama.

Ama kama amepata barua kutoka chadema, atasema kwamba hana taarifa rasmi kutoka kwa msajili wa vyama vya siasa.

Baada ya hapo bunge litalipuka kwa shangwe na kisha spika atatangaza kwamba yeye anawatambua kama wabunge halali wa chadema.
Kwani chadema wamekwambia wameshapeleka barua rasmi kwa spika?
Bunge halifanyikazi kupitia mambo ya kihuni huni.
 
Back
Top Bottom