imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Hao Covid19 hawana ridhaa yetu wameghushi na kuingia Bungeni kitapeli.Kwani mkipeleka hao virusi vipya Delta 22 ndo kodi zetu hazitakamuliwa?
Au kwa vile ni nymba ndogo hamna uchungu na kodi zetu?
Tutaridhia kwa wale tutakaowaingiza kihalali.