Halima Mdee na wenzake watinga Bungeni licha ya CHADEMA kutangaza kuwafukuza rasmi

Kiukweli kabisa niliacha siku nyingi kusoma uchafu unaoandikwa na the so called paskal mayala. Ni opportunistic asiye na bahati. Msome toka enzi za awamu ya nne. Huwa anacheza na upepo. Kwa lugha nyingine hawa wanaitwa hypocrites Mara nyingi hufanya hivo ili aonwe na mamlaka za uteuzi. Zamani alikua na kimsemo " if you can't beat them join them" huyo ndo P kubwa la wanafiki na much know
 
Mkuu P,umeongea ukweli mtupu nimekuelewa,,kumbe hawa cdm wanatuchezea akili,,lkn point ya kusema cdm waende police kupeleka hio jinai ya kufoji napata ukakasi Kwa police ipi au mahakama ipi itawasikiliza
Jeshi la polisi ndilo lenye mamlaka ya uchunguzi wa jinai ndani ya JMT, kama ni kweli kulikuwa na jinai ya forgery, hakuna namna nyingine yoyote Chadema wanaweza kujua bila kuripoti polisi, na uchunguzi wa kipolisi ungebaini kuna jinai, wabunge wale 19, ilikuwa ni hapo hapo wanapoteza ubunge wao, na sio kusubiri hadi miaka 2!.
P
 
Mkuu kwa vile kila siku humu kunaingia wageni, unaonekana na wewe ni mmoja wao, ambapo Esta Bulaya umemfahamia Chadema. Karibu mitaa hii Mbunge wa CCM, Esta Bulaya, Afanya Tukio la Kishujaa Mjini Dodoma!
Sasa Halima Mdee(this is according to your posts) atakuwa akishiriki vikao vya CDM kwa cheo chake ndani ya chama.
Chadema imekuwa na mazoea ya kufanya mambo ya hovyo kinyumecha katiba yake na kufanikiwa. Hivyo ndivyo walivyomfanya Zitto, CC ya Chadema haina mamlaka na NKM, lakini ilimtimua, alipokwenda mahakamani akawa ndio amejifukuzisha jumla.

Mamlaka ya nidhamu ya NKM na M/Kiti wa Bawacha ni Baraza Kuu. Mwisho wa uwezo wa CC ni kumsimamisha tuu. Shauri lake linasikilizwa na Baraza Kuu, uamuzi wake unatolewa na Mkutano Mkuu. Hivyo hiyo CC ya Chadema haina mamlaka na Mdee. Hii timua timua Chadema, kinyume cha katiba, kimeifanya Chadema kuwa ni Mmezoea vya kunyonga hamviwezi vya kuchinja. Hongera sana Halima Mdee na Makamanda wote kwa kugomea wito wa kienyejienyeji
P
 

Hapo ni kama tu polisi wataamua kufanya kazi kwa weledi kitu ambacho historia ya matukio kwenye kesi zenye 'usiasa' ndani yake huwa hawafanyi hivyo kwani either huzikwepa na kuzikaushia kabisa ie: Shambulizi la Lissu au kupotea Saanane na Heche. Wameamua kufunika kombe kwa sababu za kisiasa.
Sasa kuwapelekea kesi kama hiyo wataifanyia kazi kadri maelekezo kutoka juu yatakavyokuwa.
 
..Ni aibu kwa MAMLAKA zetu kuwaacha wahudhurie bunge.
Tena Ijumaa nimewaona Bungeni na Speaker hawezi kuwafanya kitu yet.

Mamuzi ya Baraza kuu sio tamko la Rais na hizo mamlaka haziwezi kuact instantly. Kuna utaratibu wa kufuata na unaanzia kwa Chama kupeleka taarifa kunakohusika (hapa tusianze kusema ati taratibu zilifuatwa mwaka 2020..,).
 
Vichwa vingine vya habari utadhani mtoa habari ana muharo
 

..Tuwe wazalendo.

..tuache visingizio vya kutokuheshimu sheria.

..Ule msemo wa, " kuheshimu sheria bila kushurtishwa, " una maana kubwa hapa.
 
Chadema iliteua Hadi mfungwa?
Huyo mwanasheria tumbo kila anapojaribu,kuhalalisha uteuzi wa Covid 19, ukigusia issue ya Nusrate Hanje anakuwa bubu.
Kama atakujibu tafadhari ni tag.
 
..Tuwe wazalendo.

..tuache visingizio vya kutokuheshimu sheria.

..Ule msemo wa, " kuheshimu sheria bila kushurtishwa, " una maana kubwa hapa.
Kwenye kuwa wazalendo ndipo shida inaanzia maana kila upande unahisi upo sahihi. Hii kitu sintoshangaa ikihamia mahakamani na wakaanza kuhoji kama ule mchakato wa kuwafukuza ulikuwa sahihi.

Kuna issue moja ya msingi sana watu wanajifanya hawaioni. Nani aliandika na kusign off ile barua ya “kuteua” hao 19? Kama ni forged nembo na muhuri wa taasisi, hili linaachwa lipite hivihivi tu? Nani ana wajibu wa kwenda kuishitaki jinai hii? Nini madhara ya kulipotezea jambo hili in the near future?
 
Zito kabwe mlimfanyia hivyo hivyo na amekaa bungeni hadi bunge limeisha
 
Mkuu huo ndio ukweli, jamaa ana ajenda ya siri, kila akilala na kuamka anafikiria uteuzi, njaa ni kitu kibaya jamani.
 
subiri huo mda nadhani uko njiani unakuja ila mimi sisubiri naomba usubirie wewe, pengine unaweza kufika hata kabla 2098
 
Mlisema Magufuli ndy anawakingia kifua wasiondolewe,

Kwani bado yupo?
Bila baraka zake nani angedhubutu kumfungulia Nusrat Hanje toka mahabusu usiku usiku na kumsafirisha mpaka Dodoma kwenda kumzawadia ubunge.
 
Zito kabwe mlimfanyia hivyo hivyo na amekaa bungeni hadi bunge limeisha

..kuna watu nchi hii wanavunja sheria lakini hawachukuliwi hatua.

..sheria ziko kwa ajili ya kuwashughulikia wapinzani na wengine wasio na ukaribu na Ccm.
 
Hivi utaratibu huo ni kwa CDM pekee?.Mbona CUF ya Lipumba na CCM haikuwa hivyo.Najua lolote la awamu ya 5 maoni yako tunajua yatakuwaje
 
Samia awe makini sana hasa wakati huu anaposisitiza maridhiano, kitendo cha kuendelea kuwaweka bungeni hao wanawake itatafsiriwa ni dharau, muhimu awe na heshima kwa mwenzake kama naye anavyotaka kuheshimiwa.
Ni mihimili miwili tofauti, samia aamue ya bungeni? 😁 baadae mseme bunge ni dhaifu linaingiliwa na rais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…