Kwa maelezo hayainaweza kuwa imepelekwa (lakini hakuna ushahidi), spika anasema hajapokea barua (hakuna ushahidi)...yajayo yanafurahisha...Barua imeshifika na imepokelewa, tunasubili reply. Ila hata hao wasaliti wanasubiri hiyo hiyo reply ambayo hatujui inaweza kuwa ya mchongo au haki. Waache walambe posho zao kwa mara ya mwisho..!
View attachment 2222688
Ugomvi na mwanamke akili mingi... washauri wengi.Wana viburi sana hawa ma bibi
Wao ni lazima waeende bungeni. Barua ikishapelekwa ni sharti aloandikiwa akiri kuipokea.Barua impelekwa, haijapelekwa, waone aibu tu watulie mahali! Shame on them!
Hauoni ingekuwa vyema na bora kwao na kwa chama kama wangeomba msamaha na shauri la rufaa kutupwa ili waanze upya?Sasa aliyekata rufaa unampaje muda aombe msamaha wakati shauri lake halijasikilizwa? Hapo akikuomba msamaha means shauri la rufaa halina maana ni kulitupa tu. Bora nafasi ya kuomba msamaha wangepewa baada ya maamzi ya baraza kuu. Ningekuwa kiongozi, wabadilifu wangejipanga sana wakt wa kunipa maelezo ya upotevu wa rasilimali 😁😁
Sawa kabisa, maana spika hajapata barua, na hatujui ataipata lini, na akiipata aite kamati zake za kumshauri, na yeye apate muda wa kufanya maamuzi, kama maamuzi yana makosa, anayakataa
Dodoma. Baadhi ya wabunge kati ya 19 waliofukuzwa uanachama na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wakiingia bungeni tayari kuendelea na shughuli za Bunge jijini Dodoma, leo Ijumaa Mei 13, 2022.
Jumatano ya Mei 11, 2022 Baraza Kuu la Chadema lilitupilia mbali rufaa za wabunge hao 19 kupinga uamuzi wa Kamati Kuu ya chama hicho kuwafukuza uanachama kwa tuhuma za usaliti kwa kukubali kwenda kuapishwa kuwa wabunge kinyume na msimamo wa chama hicho kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa 2020.
Hebu taja aliowauakaua wengi ndugu tena wasio na hatia na ndiyo maana damu zao zinanena hapa - hakuwa kiongozi makini - aliongozwa na mihemko. Imagine unamtoa mfungwa gelezani usiku wa manane then kesho yake asubuhi anaapa ati kuwa ubunge - akili hiyo.
Si umesema ni Magufuli?KIzuri zaidi wanachotamba nacho ni kwamba mkataba wao na CCM upo Lumumba, wa kuutengua ni mama tu ( Mwenyekiti wa CCM ) na si mtu mwingine yoyote.
Its sends out very bad signals kwa utawala huu wa sita . Na haswa CcmKuna invisible hand hapo,kama walivyotinga bungeni mwanzoni.
Kwa maelezo ya Mbowe walikataa kata kata kuomba msamaha.
Labda wanataka kucheza na mahakama kama Zitto alivyofanya alipofukuzwa Chadema.
Lakini wakifanya hivyo,watayumbisha chama.
Kuna watu wapuuzi kweli kweli...Chadema wametimiza wajibu wao na wamemaliza kazi yao. COVID-19 wamefukuzwa uanachama na kuendelea kuwahusisha na Chadema ni uhuni, period. Hata kama wamekata rufaa mahakami, hiyo rufaa peke yake haifuti uamuzi wa Chadema kama chama kuwafuta uanachama.
Maamuzi ya kufukuzwa uanachama hayamuhusu kabisa spika !Sawa kabisa, maana spika hajapata barua, na hatujui ataipata lini, na akiipata aite kamati zake za kumshauri, na yeye apate muda wa kufanya maamuzi, kama maamuzi yana makosa, anayakataa
Kila kitu mwendazake huo ni upumbavu wwhii nchi mwendazake alitaka kuiharibu vibaya sana, sema mkono wa Bwana umetuokoa !! mambo kama haya ni aibu kubwa kimataifa, looks like we're not organized & uncivilized.
Kijana ukiitwa mahakamani unao ushahidi wakutosha juu ya vifo hivyo au ni maneno ya kwenye kahawa.kaua wengi ndugu tena wasio na hatia na ndiyo maana damu zao zinanena hapa - hakuwa kiongozi makini - aliongozwa na mihemko. Imagine unamtoa mfungwa gelezani usiku wa manane then kesho yake asubuhi anaapa ati kuwa ubunge - akili hiyo.
Utaratibu wa barua ni dispatch book,sio maneno tu,aliyepokea barua ni nani?na sahihi yake kuwa kapokea.Sawa kabisa, maana spika hajapata barua, na hatujui ataipata lini, na akiipata aite kamati zake za kumshauri, na yeye apate muda wa kufanya maamuzi, kama maamuzi yana makosa, anayakataa
Je unajua taratibu za ajira?Kuna watu wapuuzi kweli kweli...Chadema wametimiza wajibu wao na wamemaliza kazi yao. COVID-19 wamefukuzwa uanachama na kuendelea kuwahusisha na Chadema ni uhuni, period. Hata kama wamekata rufaa mahakami, hiyo rufaa peke yake haifuti uamuzi wa Chadema kama chama kuwafuta uanachama.
Kama baada ya maamuzi ya Chadema bado COVID-19 wameweza kutinga bungeni, ni wazi hatuna bunge bali tunalo genge tu linalotafuna pesa za wananchi kwa kibali maalum kutoka kwa watawala. Haingii akilini kwamba mhuni yeyote anaweza kutinga bungeni, chombo kinachotunga sheria na kuisimamia serikali.
Barua imeshafika kwa spika? Maana spika hawezi kufanya maamuzi kwa habari za kusoma magazetini na kwenye tv.Ngoja tuone
Covid 19 hawana mshipa wa aibu
Chadema imewakataa kea asilimia 97
Kwa Mujibu wa Katibu Mkuu tayari barua ishapelekwa na kupokelewa na ofisi ya spika.Bado ni wabunge maana Chadema bado haijapeleka barua rasmi kwa Spika juu ya kufukuzwa kwao chamani