Halima Mdee: Walichofanya wajumbe wa Baraza Kuu CHADEMA ni Uhuni! Mimi ni CHADEMA, nitaendelea kuwa CHADEMA

Mimi nashauri wangeomba msamaha tu warudi kuwa wanachama wa kawaida kwanza then watagombea tena. Wafuate nyayo za akina Sophia Simba, Benard Membe n.k Halima Mdee anaonesha bado ni CHADEMA damu kama vile Manara kwa Simba Sc.
 
Kwa mujini Wa katiba ya chadema ukienda mahakamani kukishitaki chama kwa maamuzi kiliyofanya unapoteza wanachama wako directly. Zito alipoteza wanachama directly
 
Wapewe pole zao hakina mama wanasafari ndefu sana bado nchi hii.

Yaani watu walitaka wawaamulie kuchukua ubunge au kuacha, kitu walichosusia wenyewe leo tena wanakitaka.

Huo sasa ndio unyanyasaji wa kijinsia nitashangaa raisi wa nchi ambae ni mwanamama, speaker ambae ni mwanamke na waziri wa wizara ya akina mama ambae ni mwanamke wakitetea udhalilishaji huu kwenye jamii.
 
[mention]britanicca [/mention] tunasubiri ahadi uliyotuahidi kuona unaitimiza;
 
Wakati ule akisema; "hata wasipopigiwa kura wao ndio watatangazwa washindi" alikuwa amelewa? huu ni uthibitisho CCM hawaaminiki.

I know wewe reasoning yako inakuwa influenced na mahaba yako kwa mama, sidhani kama unaweza kujadili hili suala vizuri.

Unaelewa matokeo ya ule uhuni uliofanyika ndio chanzo cha Chadema kuwafukuza kina Mdee leo kwa usaliti?

Sitaki kujua ni nini watakachozungumza wakikutana hao jamaa, lakini kitendo chochote cha Chadema kupeleka wabunge wengine wa viti maalum bungeni ni usaliti.

Ni usaliti wa dhamira zao na ahadi zao, usaliti kwa wale walioibiwa kura zao halali za ubunge majimboni, na ni usaliti kwa watanzania wanaowapa michango mbalimbali kwa ajili ya shughuli za kuendeshea chama chao.
 
Ukweli ni kwamba Mbowe na Mnyika wanajua wamewasaliti kina Mdee. Mawasiliano ya simu yapo na sauti. Subirini labda wasiende mahakamani.
Hilo mbona lipo wazi ila hao wakereketwa hawawezi kukuamini.
 
Yeye na kundi lake ndio wahuni. Nyani haoni kundule.
 
Ni bora angetumia lugha ya kusema sheria haikufuatwa but kuwaita wanakamati ni wahuni ni kudhalilisha zaidi chama
alisikika nwanafisiemu mmoja wa K koo
 
Ahahaa..mkuu umenigusa ..mwaka jana nikiwa mwenyekiti wa kwaya tukataka kuleta mapinduzi na katibu wangu ndani ya kikundi..mchungaji akatufukuza 😂😂😂😂😂😂
 
Ukihukumiwa adhabu haisimami kwa kuomba rufaa, are you informed of that?
Wanaweza kwenda Mahakamani wakaomba order ya status quo pending main case kama watakuwa wamefile na wamebaini katiba ya CDM haikufuatwa kisawasawa wakati wanatimiliwa
 
Usaliti ni uhaini.
 
Na siku zinavyozidi kwenda Kuna mmoja atajitia kitanzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…