Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mujini Wa katiba ya chadema ukienda mahakamani kukishitaki chama kwa maamuzi kiliyofanya unapoteza wanachama wako directly. Zito alipoteza wanachama directlyMkuu, unatakiwa kujua kua mahakama ndie muamuzi wa mwisho kwenye jambo lolote nchi hii.
Kwa hiyo wana haki ya kwenda mahakamani wakitaka. Kumbuka ishu ya Zitto.
Nachokisema, inawezekana mahakama ikakubaliana na uamuzi wa chadema 100% na hilo halina ubishi.
Ila kwa kitendo cha kwenda mahakamani, wanafanya mchezo wa kuchelewesha ama delaying techniques. Kwa hiyo hata Bunge haliwezi kuwafukuza maana bado ni wanachama hadi mahakama itoe majibu, tayari huo muda unakua umeenda na kama ni vikao vya bunge 2 ama 3 wnaakua wamekula hela zetu.
Tusubiri tuangalie.
Wakati ule akisema; "hata wasipopigiwa kura wao ndio watatangazwa washindi" alikuwa amelewa? huu ni uthibitisho CCM hawaaminiki.Hivi umemsikiliza vizuri Mbowe kwenye hotuba yake?
Timu ya watu 10 wa Chadema watakutana na Rais na timu yake, sasa kama Rais mnamtambuwa ni kwa nini wabunge wasiende kuapishwa?
Acheni siasa za itikadi kali mambo yamebadirika na huyu mama ndio Suluhu yenyewe, hii sio awamu ya kuipoteza.
Kumbe hunaga akiliWeka picha inayowaonyesha wakiwa wamegoma
Hilo mbona lipo wazi ila hao wakereketwa hawawezi kukuamini.Ukweli ni kwamba Mbowe na Mnyika wanajua wamewasaliti kina Mdee. Mawasiliano ya simu yapo na sauti. Subirini labda wasiende mahakamani.
Yeye na kundi lake ndio wahuni. Nyani haoni kundule.Dar es Salaam. Aliyekuwa mwanachama wa Chadema, Halima Mdee amesema hakukuwa na uhuru kwa wajumbe wa Baraza Kuu la chama hicho katika upigaji wa kura na kwamba, kilichofanyika ndani ya Baraza hilo ni uhuni. Na Mbowe anajua ni Uhuni. Nitaongea siku nyingine kwa Urefu leo sio siku mwafaka. Mimi Halima Mdee ni CHADEMA na nitaendelea kuwa chadema
View attachment 2221228
Matokeo ya jumla
Idadi ya wajumbe 423
Waliokubalina na maamuzi ya Kamati ya kuwafukuza Uanachama ni 413 sawa 97.6%
Wasiokubaliana na uamuzi wa Kamati kuu ni 5 sawa na 1.2%
Wasiofungamana na upande wowote ni 5 sawa na 1.2%
Pia, soma;
Baraza Kuu la CHADEMA laridhia kufukuzwa kwa Halima Mdee na wenzake 18. Asilimia 97.6 waafikiana na maamuzi
HALIMA MDEE NA WENZAKE 18 WAFUKUZWA RASMI CHADEMA Baraza Kuu la #CHADEMA limezitupilia mbali Rufaa za Halima Mdee na wenzake 18 wakipinga kufukuzwa uanachama na Kamati Kuu ya chama hicho kwa kukubali kwenda kuapishwa na kuwa wabunge wa Viti Maalumu bila baraka za chama ====== UPDATE: Halima...www.jamiiforums.com
====
UPDATES ;
=====
Habari zaidi kutoka Gazetini;
Dar es Salaam. Aliyekuwa mwanachama wa Chadema, Halima Mdee amesema hakukuwa na uhuru kwa wajumbe wa Baraza Kuu la chama hicho katika upigaji wa kura na kwamba, kilichofanyika ni uhuni.
Mdee ambaye amepata kuwa mbunge wa Jimbo la Kawe na Katibu wa Baraza la Wanawake wa Chadema, Bawacha, ni miongoni mwa makada walifukuzwa baada ya Bazara Kuu kubariki uamuzi wa Kamati Kuu ya Chadema kuwafukuza ndani ya chama kwa kukubali kwenda kuapishwa na kuwa wabunge kinyume cha matakwa ya chama hicho.

Chanzo: Mwananchi
Ni bora angetumia lugha ya kusema sheria haikufuatwa but kuwaita wanakamati ni wahuni ni kudhalilisha zaidi chamaWewe Halima ulijisajau ukajiweka juu ya kila kitu ktk chama sasa mmetimuliwa unaona Baraza kuu ni wahuni.
Nani muhuni aliyetelekeza matakwa ya katiba au wewe uliyetekeleza matakwa ya ccm chini ya mchizi ndugai na dikteta mwendazake?
Waliwaponza, nilifikiri una akili kumbe mjinga, nafuta na namba yako ya simu kwenye simu yangu shenzi kabisa
Ahahaa..mkuu umenigusa ..mwaka jana nikiwa mwenyekiti wa kwaya tukataka kuleta mapinduzi na katibu wangu ndani ya kikundi..mchungaji akatufukuza 😂😂😂😂😂😂Hawa wameshajiona kama wamekuwa chama ndani ya chama hakuna mtu atakubali kuwa na kikundi kisichokuwa na nidhamu na kuheshimu uongozi wa juu hakuna anaweza kuvumilia watu wa aina hii kiwe chama chochote au hata kikundi cha kwaya tu huwezi kuvumilia mtu au watu wasiokuwa na nidhamu hata siku moja.
Ilikuwa haina ukali siku hizi, bora watoke hamna waliekuwa wanamwakilisha!Binafsi nasikitika sana kuipoteza sauti ya zege bungeni..
Tena alipaswa apelekwe mahakamani kabisaAnaongea nini huyu? Na elimu yake ya sheria anafanya forgery? Ilipaswa afukuzwe saa mbili asubuhi!
The good thing ni kua haki imeonekana kutendeka, aende Kongwa akalime karanga sasa!
Wanaweza kwenda Mahakamani wakaomba order ya status quo pending main case kama watakuwa wamefile na wamebaini katiba ya CDM haikufuatwa kisawasawa wakati wanatimiliwaUkihukumiwa adhabu haisimami kwa kuomba rufaa, are you informed of that?
Usaliti ni uhaini.Dar es Salaam. Aliyekuwa mwanachama wa Chadema, Halima Mdee amesema hakukuwa na uhuru kwa wajumbe wa Baraza Kuu la chama hicho katika upigaji wa kura na kwamba, kilichofanyika ndani ya Baraza hilo ni uhuni. Na Mbowe anajua ni Uhuni. Nitaongea siku nyingine kwa Urefu leo sio siku mwafaka. Mimi Halima Mdee ni CHADEMA na nitaendelea kuwa chadema
View attachment 2221228
Matokeo ya jumla
Idadi ya wajumbe 423
Waliokubalina na maamuzi ya Kamati ya kuwafukuza Uanachama ni 413 sawa 97.6%
Wasiokubaliana na uamuzi wa Kamati kuu ni 5 sawa na 1.2%
Wasiofungamana na upande wowote ni 5 sawa na 1.2%
Pia, soma;
Baraza Kuu la CHADEMA laridhia kufukuzwa kwa Halima Mdee na wenzake 18. Asilimia 97.6 waafikiana na maamuzi
HALIMA MDEE NA WENZAKE 18 WAFUKUZWA RASMI CHADEMA Baraza Kuu la #CHADEMA limezitupilia mbali Rufaa za Halima Mdee na wenzake 18 wakipinga kufukuzwa uanachama na Kamati Kuu ya chama hicho kwa kukubali kwenda kuapishwa na kuwa wabunge wa Viti Maalumu bila baraka za chama ====== UPDATE: Halima...www.jamiiforums.com
====
UPDATES ;
=====
Habari zaidi kutoka Gazetini;
Dar es Salaam. Aliyekuwa mwanachama wa Chadema, Halima Mdee amesema hakukuwa na uhuru kwa wajumbe wa Baraza Kuu la chama hicho katika upigaji wa kura na kwamba, kilichofanyika ni uhuni.
Mdee ambaye amepata kuwa mbunge wa Jimbo la Kawe na Katibu wa Baraza la Wanawake wa Chadema, Bawacha, ni miongoni mwa makada walifukuzwa baada ya Bazara Kuu kubariki uamuzi wa Kamati Kuu ya Chadema kuwafukuza ndani ya chama kwa kukubali kwenda kuapishwa na kuwa wabunge kinyume cha matakwa ya chama hicho.
Matokeo ya jumla
Idadi ya wajumbe 423
Waliokubalina na maamuzi ya Kamati ya kuwafukuza Uanachama ni 413 sawa 97.6%
Wasiokubaliana na uamuzi wa Kamati kuu ni 5 sawa na 1.2%
Wasiofungamana na upande wowote ni 5 sawa na 1.2%
Chanzo: Mwananchi
Walikuwa wamenenepa kidogo kwasababu ya mishahara na marupurupu sasa wanakuja huku kitaa ni kugumu hukuWanatia huruma walidhani ni wakubwa kuliko chama.
Wanakwenda kama wabunge ambao wamefukuzwa kimakosaNdo maana nimemueleza wangekua wajanja wangeenda kuzuiwa kujadiliwa na kufukuzwa, sasa syo wanachama kwa mujibu wa katiba ya chama.
Wataenda mahakamani kama nani?
Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
Na siku zinavyozidi kwenda Kuna mmoja atajitia kitanziWakubali tu kuwa ukweli siku zote uta prevail tu hata ukifunikwa vipi.
Sheria ndio huamua haki na huhifadhi haki ni kwamba walichelewesha tu maamuzi ila kimsingi regardless Mbowe aliamua kuwakomoa but ndo katiba inavyotaka kuwa wasiendelee kuwa wabunge as long as sio wanachama. Huu ukweli its time waukubali.
Kwanza walishaga toa msimamo kwamba hawapeleki wabunge wa viti maalum kwa kuwa uchaguzi ulikuwa batili Sasa swala la kusema wataselect new mps hilo ni ngonjera tuUlaji ndio lengo la Mbowe[emoji28] hawezi kukuweka kama hapati chakula kidogo hapo