John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Ukisoma Comments za wachangiaji wengi hapa utagundua kwamba Watu wengi sana bado hawana uelewa juu ya vigezo vinavyohitajika ili mji uweze kuwa na hadhi ya jiji kwa hapa Tanzania au hata katikà nchi zingine.
Kitaalamu Kuna Vigezo ambavyo vinahitajika ili mji fulani uwe Jiji, vigezo hivi vinatofautiana kati ya nchi na nchi kutokana na sababu mbali mbali Kama vile Maendeleo ya kiuchumi ktk nchi husika, kuwepo kwa mipango-miji Bora, upatikanaji wa huduma za msingi na vibrancy ya biashara katika mji husika, n.k., n.k.
But all in all, Tanzania Hakuna hata mji mmoja ambao umekidhi vigezo vya kuwa Jiji kwa kutumia vigezo vya Kidunia vya Kuainisha mji kuwa Jiji (World Class City Categorization)