Halmashauri ipi nchini inafaa kupandishwa hadhi kuwa Jiji la Saba?

Halmashauri ipi nchini inafaa kupandishwa hadhi kuwa Jiji la Saba?

Halmashauri inayofuata kuwa jiji la 7 Tanzania ni

  • Total voters
    118
  • Poll closed .
Mpaka sasa nchi ina Idadi ya majiji sita, ambayo ni ;
  • Dar es Salaam
  • Mwanza
  • Tanga
  • Mbeya
  • Arusha
  • Dodoma
Ni miaka 3+ tangia kuongeza kwa Idadi ya majiji, ambapo Dodoma ilipandishwa hadhi na kuwa jiji. Mpaka kufika 2035 ni Manispaa/Mji upi utakuja kupandishwa hadhi na kuwa Jiji.
Manispaa/Miji hiyo ni,
  1. KINONDONI
  2. SONGEA
  3. KIBAHA
  4. MOROGORO
  5. BUKOBA
  6. KAHAMA
  7. IRINGA
  8. NJOMBE
  9. MOSHI
  10. SUMBAWANGA
Kwa mtazamo wako lipi ni Jiji linalofuata...!?

KUMBUKA
  • Hadhi ya Jiji hugewa Wilaya
  • Kuna mikoa ina majina sawa na mojawapo ya Wilaya zao
  • Mkoa mmoja unaweza kuwa na majiji mawili au zaidi.
  • Majibu ya wadau ,yatakusaidia kujua sehemu mpya ya kwenda kuwekeza.
  • Vigezo vikubwa vya kuwa Jiji ni Idadi ya watu + pato la Wilaya.
  • Majengo ya ghorofa siyo kipimo cha jiji,,

Hadhi za Wilaya kwa mpangilio wa ukubwa wa hadhi ni.
  • Halmashauri ya Wilaya
  • Halmashauri ya mji mdogo
  • Halmashauri ya mji
  • Halmshauri ya manispaa
  • Halmashauri ya Jiji
Kabla ya 2030.Morogoro itakuwa Jiji maana ndio Ina vigezo stahiki Kwa Sasa.

Kwenye list ongeza na Tabora,Moshi Bado sana
 
Hivi Tanga ni kweli jiji?
Tanga Ina Magorofa mengi kushinda Mwanza,Dodoma na wengineo.
Screenshot_20240417-153204.jpg
 
Nilitaraj maoni ya namna hiyo...
Ila mkuu nakukumbusha tu.
Jiji na mkoa ni vitu viwili tofauti...
Jiji la Dar ni Wilaya ya Ilala...hadhi ya Jiji ni inagewa Wilaya moja tu.
Mkoa wa Dar ni Ilala+Temeke+Kinondoni+Ubungo+Kigamboni
Halafu kuna Metropolitan area ,hii inahusisha manispaa zote zinazoitegema Jiji flani kwa karibu,Kama Dar metropolitan area ni Wilaya zote za Mkoa husika pamoja na Kibaha.
Vivyo hivyo kwa Tanga.
Jiji ni Wilaya ya Tanga mjini tu.

Hata ukienda Kenya,
Kuna Jiji la Nairobi ambalo lipo ndani ya Kaunti ya Nairobi.
Hakuna Jiji la kinondoni Wala Ubungo,Wacha ujinga.
 
Mkuu Umefanikiwa kupata supu lakini??? Kama umezimua tayari basi nakuomba uitoe Kahama kwenye ujinga huu wa kuiweka na Niombe sijui Songea au Bukoba. Itoe kabisa fungu Moja na Moshi...
Halafu itoe kabisa kwenye maono ya mwaka 2035.... Waache hao wengine... Pliz iheshimu Kahama Mkuu... Naomba itengenezee uzi wake wa projection ya 2026

Kahama ni Gulio type town, sidhani kama itakuwa Jiji ikizingatiwa imepitwa Mapato na idadi ya watu na Mji wa Geita.
 
Mtoa mada unajua vigezo vya mji kupewa hadhi ya Jiji au umeandika kwa hisia tu. Hivi
Moshi
Njombe
Morogoro
Sumbawanga. Kuna wakaazi kiasi gani hata wapewe hadhi ya Jiji.
Moro Ina wakazi wa kutosha kuitwa Jiji hata Sasa.

Idadi ya watu sio kigezo pekee Cha kuwa Jiji ingawa ni kigezo Kikuu.
 
Mmmh hakuna kitu, Mbeya haitoboi hata kwa Temeke tena by far!!
Kwa hiyo ukitoka Mkoani Huwa unasema naenda Mjini Tekeme au? 🤪🤪

Wewe umewahi ona Bus limeandikwa Arusha-Temeke au Dar-Temeke? 😂😂😂

Punguzeni ujinga
 
Kwa hiyo ukitoka Mkoani Huwa unasema naenda Mjini Tekeme au? 🤪🤪

Wewe umewahi ona Bus limeandikwa Arusha-Temeke au Dar-Temeke? 😂😂😂

Punguzeni ujinga
Ungeweza kumfahamisha bila kumtukana na ujumbe ukafika bila makasiriko.
 
Mpaka sasa nchi ina Idadi ya majiji sita, ambayo ni ;
  • Dar es Salaam
  • Mwanza
  • Tanga
  • Mbeya
  • Arusha
  • Dodoma
Ni miaka 3+ tangia kuongeza kwa Idadi ya majiji, ambapo Dodoma ilipandishwa hadhi na kuwa jiji. Mpaka kufika 2035 ni Manispaa/Mji upi utakuja kupandishwa hadhi na kuwa Jiji.
Manispaa/Miji hiyo ni,
  1. KINONDONI
  2. SONGEA
  3. KIBAHA
  4. MOROGORO
  5. BUKOBA
  6. KAHAMA
  7. IRINGA
  8. NJOMBE
  9. MOSHI
  10. SUMBAWANGA
Kwa mtazamo wako lipi ni Jiji linalofuata...!?

KUMBUKA
  • Hadhi ya Jiji hugewa Wilaya
  • Kuna mikoa ina majina sawa na mojawapo ya Wilaya zao
  • Mkoa mmoja unaweza kuwa na majiji mawili au zaidi.
  • Majibu ya wadau ,yatakusaidia kujua sehemu mpya ya kwenda kuwekeza.
  • Vigezo vikubwa vya kuwa Jiji ni Idadi ya watu + pato la Wilaya.
  • Majengo ya ghorofa siyo kipimo cha jiji,,

Hadhi za Wilaya kwa mpangilio wa ukubwa wa hadhi ni.
  • Halmashauri ya Wilaya
  • Halmashauri ya mji mdogo
  • Halmashauri ya mji
  • Halmshauri ya manispaa
  • Halmashauri ya Jiji
Dodoma na Tanga sio maji ni siasa za maji taka TU! Jiwe alipitusha Dodoma kibabe bila kutumia sheria! Shenzi type!
 
Back
Top Bottom