Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM yawaita ili kuwahoji Kinana, Makamba na Membe

Mambo mengine hayana hata faida sasa makamba,ngeleja na kinana wanataka kitu gani kwa sasa kutoma CCM ??? Kwao hata usipo wapa msamahaa sawa na bure tu.
 
Umekua ukijidai mpinga sera sana sasa mwisho wako umewadia,hao wawili ni chambo tu wewe ndo mlengwa na sasa mwisho wako kisiasa umefika
Benard Camilius Membe ni Kachero Mbobezi.
Ana heshima kubwa sana Kitengoni.
Meko ata saanda tu

Sent from my SM-A207F using Tapatalk
 
mbenge,

Mkuu nimekuwa mbali kidogo na vyombo vya habari kwani Makamba na Kinana wameondolewa chamani kiongozi?
 
Makamba senior, Membe na Kinana je,mbona walifanya makosa yanayofanana na akina Nape,Chama hakitawaita kuwahoji?Taarifa yako ina mapungufu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…