Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM yawaita ili kuwahoji Kinana, Makamba na Membe

Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM yawaita ili kuwahoji Kinana, Makamba na Membe

Mambo mengine hayana hata faida sasa makamba,ngeleja na kinana wanataka kitu gani kwa sasa kutoma CCM ??? Kwao hata usipo wapa msamahaa sawa na bure tu.
 
Umekua ukijidai mpinga sera sana sasa mwisho wako umewadia,hao wawili ni chambo tu wewe ndo mlengwa na sasa mwisho wako kisiasa umefika
Benard Camilius Membe ni Kachero Mbobezi.
Ana heshima kubwa sana Kitengoni.
Meko ata saanda tu

Sent from my SM-A207F using Tapatalk
 
mbenge,

Mkuu nimekuwa mbali kidogo na vyombo vya habari kwani Makamba na Kinana wameondolewa chamani kiongozi?
 
Halmashauri kuu ya CCM imewatahadharisha wabunge watatu machachari Nape, January na Ngeleja kuwa watavuliwa uanachama endapo hawatajirekebisha baada ya kupata msamaha kutoka kwa Mwenyekiti Dr Magufuli na chama kwa ujumla.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Makamba senior, Membe na Kinana je,mbona walifanya makosa yanayofanana na akina Nape,Chama hakitawaita kuwahoji?Taarifa yako ina mapungufu.
 
Wananchi wanaipenda CCM hilo halina mjadala!
Wananchi wenyewe kama ndiyo hawa hakuna tabu
FB_IMG_1575350027977.jpeg
FB_IMG_1575349995632.jpeg
tapatalk_1547808069552.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom