Nyerere alisema CCM siyo mama yangu! Mkiamua kuwa na ujasiri wa Nyerere mkatamka hivyo na mkafukuzwa (ingawa Nyerere hakufukuzwa) uanachama, mtapoteza nini la maana katika Dunia hii? What significant loss do you stand to suffer in these few remaining years of life on earth?
Lipi linawajengea heshima kati ya kuitwa kama mbwa na kufukuzwa kishujaa?
Twende kanisani na msikitini tusali, ya dunia na CCM tuwaachie Bashiru, Polepole na Magufuli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nafikir wanajuana maovu yao sass yanaweza fukuliwa mambo amabayo ni makubwa kuwachafua hata kwa heshima yao.Mimi nafikiri ni vema waende. Kuliko kufukuzwa huku wanapakaziwa (unajuwa CCM walivyo bingwa wa kupakaza) mambo ya hovyo wao waende na waombe kikao chao kiwe wazi kwa waandishi kisha watiririke ukweli wa kinachojiri ndani ya CCM na kwa nini wao wanaona huo ni ushamba.
Hapo hata wakifukuzwa heshima yao itakuwa kubwa sana na baada ya kipindi cha jiwe kuondoka au kufyekwa, majina ya hawa wazee yatarudishwa kileleni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani atakufa wa kwanza?
Hilo jibu unaona msahihishaji atakupa alama ya vema kwa swali lililoulizwa?Nyerere alitishia and was serious kuondoka! wakajirekebisha alivyotaka
Nitashangaa sana kama watakubali kwenda kuhojiwa.
Nyerere alisema CCM siyo mama yangu! Mkiamua kuwa na ujasiri wa Nyerere mkatamka hivyo na mkafukuzwa (ingawa Nyerere hakufukuzwa) uanachama, mtapoteza nini la maana katika Dunia hii? What significant loss do you stand to suffer in these few remaining years of life on earth?
Lipi linawajengea heshima kati ya kuitwa kama mbwa na kufukuzwa kishujaa?
Twende kanisani na msikitini tusali, ya dunia na CCM tuwaachie Bashiru, Polepole na Magufuli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Ngusillo si usubiri aitwe na tupate mrejesho? Haraka ya nini? Kwani unafikiri ukachero kaanza yeye? Kaondoka nao yeye? Je, unafikiri yote ya ukachero anayajua? Mbona hakujua kuwa CCM haitamteua kugombea urais? Msitake kuwakweza na kuwaweka watu pasipostahili!!!Membe hakuna mwenye ubavu wa kumhoji ndani wala nje ya chama. Wanatapatapa bure. Membe ni level nyingine kabisa. KACHERO
kwani kafulia mkuu?kiufupi wote wamepokea barua ya wito na wamethibitisha kufika na kushiriki
Marope yeye ameomba alipiwe tiketi ya ndege,kwenda na kurudi;japo amekataliwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa,sasa hivi nadhani atakuwa na wazee wa Tanga anasoma"ramani", possibly hakumbuki biblia aliiacha wapiMwenye ile Clip wakati Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Taifa Mh Makamba aliposoma vifungu vya biblia aiweke ili Mstaafu akumbuke Ubatizo wa Moto
Sent using Jamii Forums mobile app