Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM yawaita ili kuwahoji Kinana, Makamba na Membe

Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM yawaita ili kuwahoji Kinana, Makamba na Membe

Watu wazima hawakatai wito bali hukataa walichoitiwa.

Watakiweka pabaya kisiasa kizazi chao chote ndani ya CCM ambayo bado ina decades kadhaa madarakani.

Watapoteza marafiki na watu wao wa karibu ukiangalia majority watakuwa ni haohao.

Wataziweka pabaya biashara zao na za washirika wao.

Makaburi yao yatafukuliwa kama ijulikanavyo report ya uhakiki wa mali za CCM sidhani kama hao makatibu wakuu wastaafu wako salama 100% hata kwa technicalities tu.
 
Nyerere alisema CCM siyo mama yangu! Mkiamua kuwa na ujasiri wa Nyerere mkatamka hivyo na mkafukuzwa (ingawa Nyerere hakufukuzwa) uanachama, mtapoteza nini la maana katika Dunia hii? What significant loss do you stand to suffer in these few remaining years of life on earth?
Lipi linawajengea heshima kati ya kuitwa kama mbwa na kufukuzwa kishujaa?

Twende kanisani na msikitini tusali, ya dunia na CCM tuwaachie Bashiru, Polepole na Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ya CCM tuachie sisi wenyewe, mbona dhamira yako ni kuchonganisha zaidi, CCM we are smart, usitusemee, tunajua who we are.
 
Mimi nafikiri ni vema waende. Kuliko kufukuzwa huku wanapakaziwa (unajuwa CCM walivyo bingwa wa kupakaza) mambo ya hovyo wao waende na waombe kikao chao kiwe wazi kwa waandishi kisha watiririke ukweli wa kinachojiri ndani ya CCM na kwa nini wao wanaona huo ni ushamba.
Hapo hata wakifukuzwa heshima yao itakuwa kubwa sana na baada ya kipindi cha jiwe kuondoka au kufyekwa, majina ya hawa wazee yatarudishwa kileleni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nafikir wanajuana maovu yao sass yanaweza fukuliwa mambo amabayo ni makubwa kuwachafua hata kwa heshima yao.
CCM wanajuana wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitashangaa sana kama watakubali kwenda kuhojiwa.

Wanaenda kuzungumza na wenzao sio kuhojiwa

Mzee Makamba alifanya kosa gani katika zile clips zilizosambazwa?

Unaenda kumhoji Kinana au kumuomba akupe ufafanuzi wa alichosema
 
Nyerere alisema CCM siyo mama yangu! Mkiamua kuwa na ujasiri wa Nyerere mkatamka hivyo na mkafukuzwa (ingawa Nyerere hakufukuzwa) uanachama, mtapoteza nini la maana katika Dunia hii? What significant loss do you stand to suffer in these few remaining years of life on earth?
Lipi linawajengea heshima kati ya kuitwa kama mbwa na kufukuzwa kishujaa?

Twende kanisani na msikitini tusali, ya dunia na CCM tuwaachie Bashiru, Polepole na Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hawana watoto na wajukuu? wenzako wanaongalia mbali wewe unajiangalia mwenyewe.
 
Membe hakuna mwenye ubavu wa kumhoji ndani wala nje ya chama. Wanatapatapa bure. Membe ni level nyingine kabisa. KACHERO
Mkuu Ngusillo si usubiri aitwe na tupate mrejesho? Haraka ya nini? Kwani unafikiri ukachero kaanza yeye? Kaondoka nao yeye? Je, unafikiri yote ya ukachero anayajua? Mbona hakujua kuwa CCM haitamteua kugombea urais? Msitake kuwakweza na kuwaweka watu pasipostahili!!!
 
kiufupi wote wamepokea barua ya wito na wamethibitisha kufika na kushiriki

Marope yeye ameomba alipiwe tiketi ya ndege,kwenda na kurudi;japo amekataliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee wetu Yusuph Makamba,almaarufu nabii wa ubatizo wa moto,amenasa kwenye tanuru la unabii wake.

Hana namna ya kujinasua,bali anatakiwa kuonja kikombe hicho ambacho kwa hakika kiko mbele yake.

Je akitoka kunywa kikombe cha moto atakuwa kabadilika?
 
Unabii Wake Umetumia Vyema Kabisa.
Kwasasa Makamba Ni Nabii Kamili.
Ila sikumbuki Kama alisema,
JPM atawabatiza kwa Moto au
JPM atatubatiza kwa Moto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee makamba atayamaliza tu

Mwakani atakuwepo jukwaani anapigia kampeni Ccm
 
1.Mohammed shein

2.mangula filip

3.dk Bashiru Ally

4.Samia saluhu

5.mpogolo

6.majaliwa kasimu

7mabodi

USSR
IMG-20191215-WA0004.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
uunde zimwi halafu unaingia chumbani unaliogopa,nadhani wengine watakuwa wako lecture room, badala ya chumba cha mahojiano
 
Back
Top Bottom