Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM yawaita ili kuwahoji Kinana, Makamba na Membe

Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM yawaita ili kuwahoji Kinana, Makamba na Membe

Mzee makamba atayamaliza tu

Vijana wake walitaka wamtumie vibaya kwa tamaa ya madaraka

Naamimi mwakani atakuwa jukwaani kwenye kampeni
Mwakani atakua kwenye kampeni ya nani? Labda kule upande wapili. Huku wameshamuudhi.
 
Makamba anaweza kuomba msamaha na atayamaliza....ila nina wasiwasi na kinana na membe wanaweza kuleta ubeberu
 
Sasa hivi hawa wazee wote wakiamua kutokwenda alafu wakafukuzwa kwenye Chama zaidi watapoteza nini?

Hao wazee ni zao la watu wanaoishi kwa kutegemea mbeleko ya ccm na serikali. Wakifukuzwa wote wataishi kwa shida sana.
 
Mzee makamba atayamaliza tu

Vijana wake walitaka wamtumie vibaya kwa tamaa ya madaraka

Naamimi mwakani atakuwa jukwaani kwenye kampeni

Mzee Makamba hajatumika. Mzee Makamba alikuwa ANATUKANWA hadharani na MTU anayejinadi kama anamtetea RAISI, na hadi leo hii MSIBA hajaguswa na mtu.

Hivyo basi, rekebisha kauli. Walichokifanya KINANA na MAKAMBA ndio kujisafisha mbele ya umma. Na wakiitwa huko MAADILI wataendelea KUJISAFISHA.

Mtu kama Mzee MAKAMBA na KINANA hawahitaji tena KINGA ya CCM. Umri ushakwenda, nina uhakika wataweka maslahi ya TAIFA mbele
 
Makamba anaweza kuomba msamaha na atayamaliza....ila nina wasiwasi na kinana na membe wanaweza kuleta ubeberu

Aombe msamaha kwa kosa gani?

Miaka 85 ya kuishi, 50 ya kukitumikia chama aje kumuomba radhi huuuyu mwenyekiti wenu hata kikao cha kamati ya siasa ya wilaya hajawahi kukaa.
 
Selemani,
Ukiona mtu umri umekwenda na bado anajikomba badala ya kusimamia ukweli na kuusema jua nyuma yake kuna maovu mengi yamejificha anatafuta kinga ili asiadhiriwe
 
Naamini kabisa, baada ya Jiwe kuondoka madarakani, CCM kwa kauli moja itawaomba radhi Kinana na Makamba kwa udhalilishaji wanaofanyiwa sasa. Kuhusu Membe watamurudisha kundini fasta

Binafsi bado sijaelewa kosa la Membe. Kwa wale wengine nahisi linalolazimishwa ni kutoa malalamiko yao kwenye vyombo vya habari na kutuhumu dola kuwatumia watu wa hovyo kuwachafua watu wengine. Sasa kama ccm imekuwa hivyo wakati ambapo tunao wazee waliofunzwa na Nyerere he watakapokuwa wameondoka je? Karma com ornaments Tanzania sasa ndio wakati wa kuonyesha; siyo kesho!
 
Mzee Makamba hajatumika. Mzee Makamba alikuwa ANATUKANWA hadharani na MTU anayejinadi kama anamtetea RAISI, na hadi leo hii MSIBA hajaguswa na mtu.

Hivyo basi, rekebisha kauli. Walichokifanya KINANA na MAKAMBA ndio kujisafisha mbele ya umma. Na wakiitwa huko MAADILI wataendelea KUJISAFISHA.

Mtu kama Mzee MAKAMBA na KINANA hawahitaji tena KINGA ya CCM. Umri ushakwenda, nina uhakika wataweka maslahi ya TAIFA mbele
Usitumie hisia kujibu ndg

Unadhani choko choko zilianza hapo tu?

Kufikia hatua waitwe jua kuna mambo yalomo ndani

Ukiona mbuzi yuko juu ya paa la nyumba jua kuna mtu aliyempandisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom