Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Habari za asubuhi
Katika hali ya kushangaza halmashauri karibu zote Tanzania zinataka kuchafua jitihada kubwa za Mh Rais Dr Samia Hassan Suluhu alizoweka kwa kutoa ajira takribani 12,000 kama ahadi yake ya siku 100 alivoitoa na kwa asilimia 100 kaitekeleza.
Kipembepembe kinakuja kwa hawa wasaidizi wake wa halmashauri hawataki kutoa pesa za kujikimu ili vijana waanze kazi haraka iwezekanavyo kama utaratibu wa serikali unavosema.
Secretariat ya utumishi wa umma ilianza kupanga vituo vya kazi kuanzia tarehe 11 desemba hadi tarehe 21 desemba ambapo kiurahisia zoezi la la kupata mshahara kwa mwezi January ni gumu au haliwezekani kabisa hivo ili hawa watumishi wapya waweze kuingia kwenye majukumu yao moja kwa moja swala la pesa za kujikimu ni la lazima.
Inashangaza kuona kila halmashauri inawaambia waajiriwa wapya waripoti vituo vya kazi baada ya kuona mshahara kwenye akaunti zao, huu ni ukosefu wa nidhamu kwa ahadi ya muheshimiwa Dr Samia Hassan Suluhu aliyetoa kwamba ndani ya siku 100 hawa vijana waanze kuhudumia wananchi
Halmashauri vinafanya ujanja ujanja lakini zitambue zinamuharibia sifa Mh Dr Samia Hassan Suluhu kwa makusudi kabisa maana hili jambo walikua wanalijua mapema sana na walipaswa wajipange
Lucas Mwashambwa stakehigh gallow bird na machawa wengine mje hapa