Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
- Thread starter
- #41
Nimekuelewa sana mkuuWanakuambia, "wewe ulikuwa mtaani huna kazi unateseka, umepata tu kazi basi unaanza kuona kukosa hiyo hela ya kujikimu basi serikali inakutesa. Mbona ulikuwa mtaani na unateseka tu? Serikali kukusaidia kupata kazi, basi unaanza kuona inakutesa, kisa hujapewa hela ya kujikimu" šš