Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Utaratibu ni kutoa pesa za kujikimu sio mshaharaHalmashauri wapo sahihi. Tena wanamsaidia huyo uliyemtaja.
Wakifanyisha watu kazi bila mshahara kutakuwa na kelele nyingi hapa hapa JF.
Serikali inafanya vizuri kuhakikisha waajiriwa wapya wanaingia kwenye mfumo wa malipo ndipo waende vituo vyao vya kazi.
Unajua hela za kujikimu zinatoka mfuko gani?? 🤔 🤔.Utaratibu ni kutoa pesa za kujikimu sio mshahara
Hizo fedha za kujikimu zinatolewa na halmashauri? Tangu lini?Utaratibu ni kutoa pesa za kujikimu sio mshahara
Achana na hawa chawa, Yani hawaelewi chochote na ndio hawa wanaoongoza wananchi....Unajua hela za kujikimu zinatoka mfuko gani?? 🤔 🤔.
Pesa za kujikimu zinatoka kwenye mapato ya ndani ya halmashaur msitake kujifanya wajuajiUnajua hela za kujikimu zinatoka mfuko gani?? 🤔 🤔.
Aya tuambie hela za kujikimu zinatoka wapi?Hizo fedha za kujikimu zinatolewa na halmashauri? Tangu lini?
Embu acha hii kariba, hata wewe ungeweza kwenda kufanya kazi bila malipo yeyote? Kwanini mnapenda kujichekesha chekesha, kama hajafanya chochote mnataka aonekane kafanya ili iweje? Hajafanya ni hajafanya tu'
Katika mfuko wako wa shatiAya tuambie hela za kujikimu zinatoka wapi?
TaahiraKatika mfuko wako wa shati
Zingekuwa zinatoka Halmashauri, basi hizo manispaa ambazo zinahodhi mapato mengi... Ungekuta zishawalipa kujikimu muda mrefu, na wewe usingekuja kulalamika humu....Pesa za kujikimu zinatoka kwenye mapato ya ndani ya halmashaur msitake kujifanya wajuaji
Ndiyo ulidanganywa hivo?Pesa za kujikimu zinatoka kwenye mapato ya ndani ya halmashaur msitake kujifanya wajuaji
Ni bora kuuliza ili ujue kuliko, kuaminisha watu uongo..Pesa za kujikimu zinatoka kwenye mapato ya ndani ya halmashaur msitake kujifanya wajuaji
Ameleta Thread ya uongo sana, ni bora angeuliza kuwa pesa ya kujikimu huwa inatoka mfuko upi,?? Kuliko kuleta hoja zisizo kuwa na msingi.Achana na hawa chawa, Yani hawaelewi chochote na ndio hawa wanaoongoza wananchi....
Idara za Serikali wafanye vetting.... Hawa machawa ndio unakuta anakuja kiongozi wa chama kisha wanalazimisha taasisi za umma ziratibu uwepo wa kiongozi wa chama.
Hawa ndio Think tankers wao.... Yani ni huzuni Nchini Malawi, Tunaacha Pure Talented, Professionals kuendesha idara mbalimbali, tunazingatia uchawa uchawa ndio matokeo yake haya'Ameleta Thread ya uongo sana, ni bora angeuliza kuwa pesa ya kujikimu huwa inatoka mfuko upi,?? Kuliko kuleta hoja zisizo kuwa na msingi.
Sema hapa Sasa wewe unaejua sio kuongea maneno matupuAmeleta Thread ya uongo sana, ni bora angeuliza kuwa pesa ya kujikimu huwa inatoka mfuko upi,?? Kuliko kuleta hoja zisizo kuwa na msingi.
Tajeni zinatoka wapi sio kujizungusha zungusha kama malaya wameona biaHawa ndio Think tankers wao.... Yani ni huzuni Nchini Malawi, Tunaacha Pure Talented, Professionals kuendesha idara mbalimbali, tunazingatia uchawa uchawa ndio matokeo yake haya'
Kuna tukio nimeliona kama week kadhaa zimepita nimejifunza mengi sana kuhusu masuala ya Chama kuingilia mifumo au idara za kiserikali tunaharibu. Tuzingatie weledi, Professionals na vitu vya muhimu...
Simlau Kiongozi wa Nchi hata kidogo lakini hawa wasaidizi wake dah' aisee tunahitaji vetting
Sema zinatoka wapi? Mbna hamsemi zinatoka wapi zaid ya kuropoka ropoka tuNdiyo ulidanganywa hivo?
Wewe bado nyoyaa sana
Kaa tulia hujui kitu wewe