Halmashauri nchini zimejipanga kumchafua Rais Samia kwenye ahadi yake ya siku 100 kada ualimu na afya

Naam mkuu, uchawa na kupandikiza chama kwenye mambo ya msingi ni hatari sana kwa sababu ni ngumu sana kupata watu/wataalam weledi kwenye mambo nyeti hasa namna ya kuendesha nchi. ( yeyote atakaye pinga kitu chenye manufaa ya nchi wanaona kama anachuki nao, huu ndo tunaita uvivu wa kifikiri.)
 
OK sawa kama tuna ropoka ropoka.. 🀝
Sasa husem zinatoka wapi kama sio halmshaur halaf unasema nimekosea hujioni kama unamatatzo? Anaekosea anarekebishwa lakn nawaona mnaongea mipasho tu humu ndani kama mpo kikoba
 
Je hiyo gear namba ⁡ngapi wewe pamoja na hao akina Mwashambwa?
 
Tajeni zinatoka wapi sio kujizungusha zungusha kama malaya wameona bia
Una haki ya kutukana kijana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Maisha ni magumu subiria mshahara utoke ndipo ukareport kisha baada ya kureport watakuandalia mkeka wa kujikimu...

Kama ni uko under Tamisemi, I hope watakushughulikia Tamisemi

Kama uko wizarani the same.

Ila acha kuanzisha nyuzi za kuwalaumu wakurugenzi na viongozi kuwa wanamuhujumu na kumchamfua Raisi huo ni utoto. Halafu unapokuwa huna hoja acha kuandika maneno ya kejeli
 
Wewe ni taahira
 
Hivi hamuoni kama mnaleta taharuki ? Au mnataka kutekwa ?
 
Tukana uwezavyo... Next time usianzishe uzi hovyo hovyo

Hii ni JAMII forum ukiwa humu unatakiwa uwe Great thinker

Coward
We ni taahira pro max hauna u great thinker wowote kiaz wewe.

Unajifanya mjuaji unaulizwa swali baada ya kujibu unaleta taarab

Ungesema hizo hela zinatoka wapi kama sio halmashaur ungekua umesaidia sana kuliko kuongea kama shoga kaona bia
 
Mpaka ifike march tutaona na kusikia mengi
Mkuu mimi naweza kuwa nilikosea nakubal hawa majamaa watatu hapo juu na kama hawana akil timamu, wao wanaojua walitakiwa wanielekeze bwana hzo hela zinatoka sehemu fulani sio halmashaur lkn chakushangaza hawajibu zinatoka wapi zaid ya kunichamba
 
Achana naye huyo, tuelekeze akili kwenye mambo mengine ya msingi zaidi.
 
Umeaji
Umeaj

Wewe uliajiriwa lini kenge maji wewe. Unajialua bajet inafanya kazi?
 
Wanakuambia, "wewe ulikuwa mtaani huna kazi unateseka, umepata tu kazi basi unaanza kuona kukosa hiyo hela ya kujikimu basi serikali inakutesa. Mbona ulikuwa mtaani na unateseka tu? Serikali kukusaidia kupata kazi, basi unaanza kuona inakutesa, kisa hujapewa hela ya kujikimu" 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…