Halmashauri ya Longido yaipa familia ya Rostam Aziz mapori 3 kwa uwekezaji wa Carbon credit kwa miaka 15

Halmashauri ya Longido yaipa familia ya Rostam Aziz mapori 3 kwa uwekezaji wa Carbon credit kwa miaka 15

Budget ya TFS na NEMC kwa mwaka ni zaidi ya billion 100 hiyo tsh milllion kumi si ni sawa na kikombe cha chai baharini kwenye gharama za kutunza.

Huyo Akram atakuwa analinda yeye hiyo misitu hiyo au kazi bado itabaki chini ya TFS na NEMC, halafu yeye shughuli yake kwenda kufanya trade offs huko na wazungu na kuvuna mamillioni ya dollar kila mwaka. Hiyo shughuli si hata TFS wenyewe wanaiweza kama ni kuuza kufanya carbon trade tu.
Kama TFS hiyo kazi wanaiweza mbona miaka yote hiyo hawajafanya kuongeza mapato na kuinua uchumi wa jamii inayo zunguka hiyo misitu
 
Ndio hapo Sasa Kwa vile halmashauri hawawezi kufanya trade off na wazungu, acha wajanja wafanye na halmashauri iambulie 450M Kwa hicho kipindi Cha miaka 15.
 
Wamekariri sana Carbon Trade sio kuuza hewa tu.

Serikali inaweza ingia mikataba na makampuni makubwa kama coal power plants na oil refineries yakajenga renewable energy sources Tanzania kwa gharama zao sisi tutunze eneo fulani la misitu hiyo pia inakubalika. Badala ya kuwalipa TFS bure bure halafu wengine wavune.

Kuna aina tatu ta Carbon trade offs not just one.
 
Kama TFS hiyo kazi wanaiweza mbona miaka yote hiyo hawajafanya kuongeza mapato na kuinua uchumi wa jamii inayo zunguka hiyo misitu
Kuna jamaa wanaitwa carbon tanzania wao ndiyo wana mchongo wote,na kama nyie huko mnatunza misitu na kuiendeleza
Wao wanakutafutia watu nje wanaotoa ruzuku kwa wanaotunza mazingira ya misitu

Ova
 
Kama TFS hiyo kazi wanaiweza mbona miaka yote hiyo hawajafanya kuongeza mapato na kuinua uchumi wa jamii inayo zunguka hiyo misitu
Hayo mambo watu tumepiga kelele toka tunaingia JF kuhusu
‘Carbon Trade’ measures which were introduced after the Kyoto Protocol.

Wao badala ya kuchukua hatua mawaziri husika kutafuta hizo deal wanaachia wafanyabiashara au wafuatwe na waarabu baada ya kuona serikali iliyolala usingizi wa pono.
 
Hivi hii carbon credit inafanya kazi namna gani? Rostam anapata nini kwenye huu uwekezaji? Na hivyo vijiji haviwezi kuwekeza vyenyewe?
Hebu ngoja nijaribu kwa uelewa nilioukusanya mpaka sasa.

Industrialization imepelekea developed countries kuwa na misitu hafifu, kutokana na hiyo deforestation majanga kama tabiachi yamekuwa common vitu kama kuongezeka kwa joto duniani, mafuriko, vimbunga, vyote hivyo ni matokeo ya uharibifu mkubwa wa mazingira ikiwemo ufyekaji wa misitu kwa ajili ya uendelezaji wa viwanda.

Kuna kitu kinaitwa ozone layer depletion inayopelekea release of chlorofluorocarbons, carbon monoxide gases n.k zinazosababisha utobokaji wa hizo layer ya ozone ambayo inaikinga dunia na hiyo miale ambayo inaleta madhara kwa binadamu ikiwemo cancer, kuongezeka kwa joto n.k

Sasa on your time rejea kazi za misitu. Ila nchi zilizoendelea zinatenga fungu katika bajeti zao kwa ajili ya kuendeleza misitu ya nchi zetu hizi za kimasikini ambayo inasaidia ku combat ozone layer depletion, kazi mojawapo ya misitu ni ku absorb hizi gases zenye adverse impact kwenye ozone layer, nyingine ni water bodies ikiwemo bahari. Ndio hapo inapokuja biashara ya hewa ukaa au carbon credit business.

Nchi inavyokuwa na misitu mingi au forest cover kubwa na miti iliyokuwa imefikia vigezo basi inakuwa na uhakika wa kupata hizo fedha za carbon credit. Vijiji kadhaa, mamlaka kadhaa hapa nchini ikiwemo TFS, TAWA zimeshaingia MoU ya hizi biashara za hewa ukaa na companies za nje ya nchi na inapelekea serikali kukusanya billions of money kutokana na misitu ya halmshauri, vijiji, wakala wa misitu na mamlaka ya wanyamapori.

Sasa navyojua mimi Kilombero North Hunting Safaris ni kampuni inayojihusisha na uwindaji wa kitalii Trophy Hunting, swali langu ni je? Kwenye hayo mapori hakuna wanyamapori wanaoweza kuwindwa kwa kipindi hiki mkataba umesainiwa baina ya Halmashauri na kampuni ya uwindaji? Instention yao ni kujihusisha kweli na biashara ya carbon credit au Kuna hidden agenda?

I rest my case, I stand to be corrected professionally.
 
Hayo mambo watu tumepiga kelele toka tunaingia JF kuhusu
‘Carbon Trade’ measures which were introduced after the Kyoto Protocol.

Wao badala ya kuchukua hatua mawaziri husika kutafuta hizo deal wanaachia wafanyabiashara au wafuatwe na waarabu baada ya kuona serikali iliyolala usingizi wa pono.
Hadi hapo unaweza kuona tatizo lipo upande gani
Mfanyabiashara kazi yake ni kuangalia fursa na kuzitumia
 
Budget ya TFS na NEMC kwa mwaka ni zaidi ya billion 100 hiyo tsh milllion kumi si ni sawa na kikombe cha chai baharini kwenye gharama za kutunza.

Huyo Akram atakuwa analinda yeye hiyo misitu hiyo au kazi bado itabaki chini ya TFS na NEMC, halafu yeye shughuli yake kwenda kufanya trade offs huko na wazungu na kuvuna mamillioni ya dollar kila mwaka. Hiyo shughuli si hata TFS wenyewe wanaiweza kama ni kuuza kufanya carbon trade tu.
Hebu kokotoa hiyo budget ya billioni 100 inatokea wapi
Hiyo NEMC hauhusiki hapa ni yenyewe ni advisory body tu na inaendeshwa na michango ya donors

Na hao TFS wao kazi ya kukata miti na kuuza mbao kwa minada, ndio waharibifu wakubwa wa mazingira

Huu uwekezaji tayari unawaltea baadhi ya maeneo kipato kikubwa kuendesha miradi yao kama Katavi
 
Hadi hapo unaweza kuona tatizo lipo upande gani
Mfanyabiashara kazi yake ni kuangalia fursa na kuzitumia
Yes nahisi hawa KNHS wanakuwa kama madalali kati ya Halmashauri na kampuni za CC. Easy peasy business nalipwa USD 20M nakulipa Tsh. 10M per year 🤣
 
Hadi hapo unaweza kuona tatizo lipo upande gani
Mfanyabiashara kazi yake ni kuangalia fursa na kuzitumia
Tatizo ni ufisadi kama fursa za mfanyabiashara abebe na gharama za operation cost za TFS, NEMC you can add na TANAPA on the bill kama hiyo misitu inaingia sehemu ya hifadhi.

Yaani upkeep ambayo ndio shughuli pevu wafanye wengine kwa gharama za serikali; halafu ya kutunza wakavune wengine.

Walipie partly gharama za TFS, NEMC na TANAPA na wanunue vitendea kazi hapo labda ndio kuna biashara na tena faida wagawane na serikali. Vinginevyo ni ufisadi tu.
 
Yes nahisi hawa KNHS wanakuwa kama madalali kati ya Halmashauri na kampuni za CC. Easy peasy business nalipwa USD 20M nakulipa Tsh. 10M per year 🤣
Yap ina onekana biashara nyepesi lakn ghali kwa mtu wa kawaida kufahamu logistics zake
 
Hiyo Halmashauri ina hata Wataalamu wa kuingia MIKATABA ya aina hii?..na kwanini Halmashauri isiingia mkataba na hao Carbon Credit moja kwa moja pasipo huyo Dalali Rostam?
Nchi yetu imekuwa na shida ya governing bodies zaidi ya moja kuwa custodian wa single resource. Mfano wanyamapori utasikia TANAPA, NGORONGORO, TAWA wote hawa wanasimamia rasilimali za wanyamapori wakiwa na matumizi endelevu tofauti. Haya Kuna misitu iko chini ya wakala wa huduma za misitu na misitu mingine ya Halmshauri, misitu mingine iko chini ya serikali za vijiji.

Impact ya hii kitu utaikuta kwenye menejimenti ya rasilimali husika, wakati TFS wameingia mkataba wa carbon credit na makampuni ya nje na wanakusanya millions of USD, unasikia nao halmashauri ya longido wameingia mkataba na madalali na wanapewa million 10 za kibongo kwa mwaka.
 
Hebu kokotoa hiyo budget ya billioni 100 inatokea wapi
Hiyo NEMC hauhusiki hapa ni yenyewe ni advisory body tu na inaendeshwa na michango ya donors

Na hao TFS wao kazi ya kukata miti na kuuza mbao kwa minada, ndio waharibifu wakubwa wa mazingira

Huu uwekezaji tayari unawaltea baadhi ya maeneo kipato kikubwa kuendesha miradi yao kama Katavi
Mwekezaji labda ndio has earned hiyo hela tsh 8.2 billion. Otherwise Katavi municipal mapato yake hayafiki hata tsh billion 3 hivi tunavyoongea.

Hizo billion 8.2 za Carbon trade off anachukua mwekezaji. Halafu kazi ngumu ya ulinzi inafanywa na NEMC na TFS kwa gharama za hela ya walipa kodi wa Tanzania; sasa hiyo si ndio habari ya shamba la bibi.
 
Back
Top Bottom