peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama TFS hiyo kazi wanaiweza mbona miaka yote hiyo hawajafanya kuongeza mapato na kuinua uchumi wa jamii inayo zunguka hiyo misituBudget ya TFS na NEMC kwa mwaka ni zaidi ya billion 100 hiyo tsh milllion kumi si ni sawa na kikombe cha chai baharini kwenye gharama za kutunza.
Huyo Akram atakuwa analinda yeye hiyo misitu hiyo au kazi bado itabaki chini ya TFS na NEMC, halafu yeye shughuli yake kwenda kufanya trade offs huko na wazungu na kuvuna mamillioni ya dollar kila mwaka. Hiyo shughuli si hata TFS wenyewe wanaiweza kama ni kuuza kufanya carbon trade tu.
Budget ya TFS na NEMC kwa mwaka ni zaidi ya billion 100 hiyo tsh milllion kumi si ni sawa na kikombe cha chai baharini kwenye gharama za kutunza.
Huyo Akram atakuwa analinda yeye hiyo misitu hiyo au kazi bado itabaki chini ya TFS na NEMC, halafu yeye shughuli yake kwenda kufanya trade offs huko na wazungu na kuvuna mamillioni ya dollar kila mwaka. Hiyo shughuli si hata TFS wenyewe wanaiweza kama ni kuuza kufanya carbon trade tu.
Hizo fedha ni nying sana zitasaidia.Inamaana ndani ya miaka 15 halmashauri itapata 10Mx3x15=TZS 450M
Kuna jamaa wanaitwa carbon tanzania wao ndiyo wana mchongo wote,na kama nyie huko mnatunza misitu na kuiendelezaKama TFS hiyo kazi wanaiweza mbona miaka yote hiyo hawajafanya kuongeza mapato na kuinua uchumi wa jamii inayo zunguka hiyo misitu
Hayo mambo watu tumepiga kelele toka tunaingia JF kuhusuKama TFS hiyo kazi wanaiweza mbona miaka yote hiyo hawajafanya kuongeza mapato na kuinua uchumi wa jamii inayo zunguka hiyo misitu
Hebu ngoja nijaribu kwa uelewa nilioukusanya mpaka sasa.Hivi hii carbon credit inafanya kazi namna gani? Rostam anapata nini kwenye huu uwekezaji? Na hivyo vijiji haviwezi kuwekeza vyenyewe?
Hadi hapo unaweza kuona tatizo lipo upande ganiHayo mambo watu tumepiga kelele toka tunaingia JF kuhusu
‘Carbon Trade’ measures which were introduced after the Kyoto Protocol.
Wao badala ya kuchukua hatua mawaziri husika kutafuta hizo deal wanaachia wafanyabiashara au wafuatwe na waarabu baada ya kuona serikali iliyolala usingizi wa pono.
Hebu kokotoa hiyo budget ya billioni 100 inatokea wapiBudget ya TFS na NEMC kwa mwaka ni zaidi ya billion 100 hiyo tsh milllion kumi si ni sawa na kikombe cha chai baharini kwenye gharama za kutunza.
Huyo Akram atakuwa analinda yeye hiyo misitu hiyo au kazi bado itabaki chini ya TFS na NEMC, halafu yeye shughuli yake kwenda kufanya trade offs huko na wazungu na kuvuna mamillioni ya dollar kila mwaka. Hiyo shughuli si hata TFS wenyewe wanaiweza kama ni kuuza kufanya carbon trade tu.
Yes nahisi hawa KNHS wanakuwa kama madalali kati ya Halmashauri na kampuni za CC. Easy peasy business nalipwa USD 20M nakulipa Tsh. 10M per year 🤣Hadi hapo unaweza kuona tatizo lipo upande gani
Mfanyabiashara kazi yake ni kuangalia fursa na kuzitumia
Tatizo ni ufisadi kama fursa za mfanyabiashara abebe na gharama za operation cost za TFS, NEMC you can add na TANAPA on the bill kama hiyo misitu inaingia sehemu ya hifadhi.Hadi hapo unaweza kuona tatizo lipo upande gani
Mfanyabiashara kazi yake ni kuangalia fursa na kuzitumia
Yap ina onekana biashara nyepesi lakn ghali kwa mtu wa kawaida kufahamu logistics zakeYes nahisi hawa KNHS wanakuwa kama madalali kati ya Halmashauri na kampuni za CC. Easy peasy business nalipwa USD 20M nakulipa Tsh. 10M per year 🤣
Nchi yetu imekuwa na shida ya governing bodies zaidi ya moja kuwa custodian wa single resource. Mfano wanyamapori utasikia TANAPA, NGORONGORO, TAWA wote hawa wanasimamia rasilimali za wanyamapori wakiwa na matumizi endelevu tofauti. Haya Kuna misitu iko chini ya wakala wa huduma za misitu na misitu mingine ya Halmshauri, misitu mingine iko chini ya serikali za vijiji.Hiyo Halmashauri ina hata Wataalamu wa kuingia MIKATABA ya aina hii?..na kwanini Halmashauri isiingia mkataba na hao Carbon Credit moja kwa moja pasipo huyo Dalali Rostam?
Mwekezaji labda ndio has earned hiyo hela tsh 8.2 billion. Otherwise Katavi municipal mapato yake hayafiki hata tsh billion 3 hivi tunavyoongea.Hebu kokotoa hiyo budget ya billioni 100 inatokea wapi
Hiyo NEMC hauhusiki hapa ni yenyewe ni advisory body tu na inaendeshwa na michango ya donors
Na hao TFS wao kazi ya kukata miti na kuuza mbao kwa minada, ndio waharibifu wakubwa wa mazingira
Huu uwekezaji tayari unawaltea baadhi ya maeneo kipato kikubwa kuendesha miradi yao kama Katavi
![]()
Katavi villages ripe from carbon trading - Daily News
KATAVI: Residents of eight villages in Tanganyika district, Katavi region are looking forward to robust carbon trading as…dailynews.co.tz