Halmashauri ya Longido yaipa familia ya Rostam Aziz mapori 3 kwa uwekezaji wa Carbon credit kwa miaka 15

Halmashauri ya Longido yaipa familia ya Rostam Aziz mapori 3 kwa uwekezaji wa Carbon credit kwa miaka 15

Halmashauri ya Longido imeipa familia ya Rostam Aziz mapori 3 kwa uwekezaji wa Carbon credit wa miaka 15 kwa malipo ya Tsh. Milioni 10 kwa kila pori kwa mwaka.

Mkataba huo umesaniwa na Akram Azizi ambaye ni Director wa kampuni iliyoingia mkataba huo ya Kilombero North Safaris.

Marejeo na maboresho ya mkataba huu yatafanyika kila baada ya miaka 5 ili kuendana na mahitaji ya wakati huo.
Mbona iko sawa, Wanakodi kwa Kila mwaka
 
Nimesikitika kwamba, sijaona mahali popote ambapo wanavijiji ambao wametinza misitu hiyo kwa miaka dahari, wameshirikishwa na hivyo kuelezwa wao watanufaika vipi.

Haki ya kutafuta kuni, dawa na kulisha mifugo imezingatiwa vipi katika mkataba huo? Katika hicho kiasi kiduchu, wanakijiji watapata nini?

Kingine , naona halmashauri inafanya kama serikali kuu, kuna watu wanaojiita wataalam lakini? Sijui ni rushwa. Inakuwaje wanakubali vitu kama hivi?

Walishindwa nini wao kama halmashauri kufajya hiyo biashara badala ya kuwapa waarabu hao? Eti Mkurugenzi mtendaji, hata kama alikuwa hajasikia alishindwa nini kujipa muda na kujiuliza hawa watu watanufaika na nini?

Tanzania yangu, nakulilia hawa ndio wanaojiita wazalendo kwa kutoa bure raslimali za umma kwa bei ya bure!
 
Yap ina onekana biashara nyepesi lakn ghali kwa mtu wa kawaida kufahamu logistics zake
Kama biashara hauko na ufahamu nayo usiifanye, tafuta elimu na ujuzi kuhusu biashara hiyo halafu sasa way out kama itakufaidisha au itamfaidisha mwekezaji.

Halmashauri hiyo haipo kisiwani kwamba ingeshindwa kuomba usaidizi toka kwa Halmashauri nyingine au mamlaka nyingine zilizoingia mkataba wa carbon credit na makampuni. Ni ufisadi tu ndio tatizo.
 
Contract of joint rehabilitating, conserving and investing kwa kiswahili ndio kuuza???
 
Bora kuchamba unapata baraka kutoka harufu ya mikundu ya mibibi mizee ya kizungu kuliko mimatumbi uchwara ukitaka kuisaidia inakuroga.

Mgerasi wewe ni umbwaaa
watu wa ukimani wanateseka sisi diaspora tunachekea chooni.
watu wa ukimani imebaki kuolewa wamvalie shanga bwana
 
Halmashauri ya Longido imeipa familia ya Rostam Aziz mapori 3 kwa uwekezaji wa Carbon credit wa miaka 15 kwa malipo ya Tsh. Milioni 10 kwa kila pori kwa mwaka.

Mkataba huo umesaniwa na Akram Azizi ambaye ni Director wa kampuni iliyoingia mkataba huo ya Kilombero North Safaris.

Marejeo na maboresho ya mkataba huu yatafanyika kila baada ya miaka 5 ili kuendana na mahitaji ya wakati huo.
Safi.

Au nae ni Mwarabu haitakiwi? 😁😁
 
Hivi hii carbon credit inafanya kazi namna gani? Rostam anapata nini kwenye huu uwekezaji? Na hivyo vijiji haviwezi kuwekeza vyenyewe?
Google it utaelewa vizuri kuliko nikikueleza hapa, Rostam atapata pesa na jina zuri kwenye makampuni yake anajali mazingira, yes vijiji vinaweza na ndio inatakiwa iwe hivyo, program za carbon credits zipo nyingi Tatizo serikali haisaidii kuelimisha watu wapige pesa inaachia wenye pesa na uelewa wapige pesa peke yao
 
Back
Top Bottom