sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,639
- 5,767
Katika kitu kilichonikatisha tamaa ni kuona katika hotuba ya msemaji wa Hamas hakutaja nchi kama South Africa au Ireland ambao kwa nafasi kubwa wamepambana sana kwenye hii vita.
Zipo nchi za America kusini walifukuza hadi baloz wa Israel, kuna wananchi kibao wa nchi za magharib ambao hata si waislam waliwekwa hadi ndani, wengine walijiua kabisa kama yule mwanajeshi wa marekani.
Ni jambo la ajabu kuja kuwashukuru nchi za kiarabu na ulimwengu wa kiislam wakati kisha unashukuru wengine kwa ujumla.
Hata baada ya zaidi ya miez 15, bado hawajaweza kujua kua “it was not about islam/religion, rather the humanity, which was shown all over the world.”
To be honest, am disappointed to this but am happy the war has ended.