Hamas hawana shukran au hawana ufahamu, kifupi wako primitive

Hamas hawana shukran au hawana ufahamu, kifupi wako primitive

Yes tupendane sisi kwa sisi tusichukiane kwasababu waafrika tuna tabia hiyo hata humu ndani tu mmekuwa mkitukanana na kutishiana kisa wayahudi na wapalestina why? Why doing such a thing beautiful people of JAH?
Mi nilitegemea useme tuwapende binadamu wote kwani wote ni wenzetu na Muumbaji wetu ni mmoja.
 
Nchi ya kiarabu kaitaja moja 1 Yemen peke yao Pelestina kila siku wanaitaja Africa Kusini kama ndugu zao wa dhati.

Wamewashukuru watu wate walikuwa wanawapambania.
Na sikitika ndugu kobazi wa mchamba wima hukukumbukwa pamoja na jitihada zako za kuwashobokea mabwana zako kwa miezi 15 ila hawakutambui kama ni mtu zaidi wanakuona mtumwa tu na wanakushangaa na bichwa lako kama mkate wa bofloo ( mkate mkubwa ndani hakuna kitu)
 
Kazi ya askari au mwanajeshi ni kulinda na Raia na mali zao. Sasa kama Askari anajificha kwenye handaki anawaacha raia wanataabika halafu baada ya vita kusitishwa wanaibuka na magwanda yao mtaani kushangilia huo ni upumbavu.

Na mpumbavu na punguani zaidi ni yule anayewqona askari ambao waliwatelekeza raia wao
Israel ndiyo waliokiuka sheria za kimataifa kwa kuua raia wasiokuwa na hatia.Wameangusha majumba,wamepiga huduma za kijamii kama hospitali,miundo mbinu kwa kuamini Maadui wako katika ya watu.
Hamas wao walideal na wanajeshi wa Israel.
Kwa kifupi pande zote zilikiuka sheria za kimataifa katika vita.
Vita siyo kitu cha kushabikia kabisa!
 
Mi nilitegemea useme tuwapende binadamu wote kwani wote ni wenzetu na Muumbaji wetu ni mmoja.
Narudia tena sisi waafrika inatakiwa tuanze na matatizo yanayotuhusu sisi kwanza kabla ya wengine,wazungu wanajadili matatizo yao kwanza kabla ya wengine ndio maana wanafanikiwa. Mpalestina wala myahudi hana muda wa kujadili matatizo yenu nyinyi waafrika ila nyinyi waafrika ndiyo mnajadili matatizo yao ambayo hayawahusu. Ndio maana umekimbilia mbali kwa wayahudi na wapalestina wakati ndugu zako wakongo hapo jirani tu wanakufa na hujawahi hata kuwaposti?
 
Muda si mrefu itaondolewa kwenye uso wa Dunia itskuwa historia.

GOD BLESS ISRAEL
 
Israel ndiyo waliokiuka sheria za kimataifa kwa kuua raia wasiokuwa na hatia.Wameangusha majumba,wamepiga huduma za kijamii kama hospitali,miundo mbinu kwa kuamini Maadui wako katika ya watu.
Hamas wao walideal na wanajeshi wa Israel.
Kwa kifupi pande zote zilikiuka sheria za kimataifa katika vita.
Vita siyo kitu cha kushabikia kabisa!
Usiniquioteunapokuwa unatoa upuuzi wako
 
South Africa kwa lipi? ama zile kesi walizofungua ICC, hakuna nchi za kizungu ata 1 ilisimama na palestina kwa dhati ukitoa wananchi wema ambao walikuwa wanaandama kupinga mauaji ya kimbari, nchi zote ziliufayata, ata baadhi za majirani pia, kama Saudia, Oman, Misri nk wote waliufyata, walikataa hadi ndugu zao wapalestine kuwapa makaazi baada ya zilzala ya Gaza, wewe unafkiri nani anastahili shukurani
Kaongea kishabiki
 
.., hakuna nchi za kizungu ata 1 ilisimama na palestina kwa dhati ukitoa wananchi wema ambao walikuwa wanaandama kupinga mauaji ya kimbari,
South Africa sio nchi ya kizungu
 
Mimi ndugu yangu ni mweusi mwenzangu ninayeishi naye tanzania ambaye anaweza kunisaidia chumvi,kiberiti na hata jero nikiumwa nipate hata paracetamol ya kutuliza maumivu.

Sina undugu na mpalestina wala myahudi ila siachi kuwaombea AMANI NA UTULIVU waache VITA waache KUUWANA because after all WE ARE ALL HUMANS na ni jukumu la kila binadamu kuifanya DUNIA iwe sehemu salama ya kuishi.
At least muisrael amekutengenezea paracetamol ambayo ukipewa jero na ndugu yako mweusi, utaenda kupata fulani hapo tu jirani
 
Narudia tena sisi waafrika inatakiwa tuanze na matatizo yanayotuhusu sisi kwanza kabla ya wengine,wazungu wanajadili matatizo yao kwanza kabla ya wengine ndio maana wanafanikiwa. Mpalestina wala myahudi hana muda wa kujadili matatizo yenu nyinyi waafrika ila nyinyi waafrika ndiyo mnajadili matatizo yao ambayo hayawahusu. Ndio maana umekimbilia mbali kwa wayahudi na wapalestina wakati ndugu zako wakongo hapo jirani tu wanakufa na hujawahi hata kuwaposti?
Eeeenhe! Kweli umepania Waafrika wawe matawi ya juu; juu zaidi, juu kabisa.
 
Back
Top Bottom