Hamas hawana shukran au hawana ufahamu, kifupi wako primitive

Hamas hawana shukran au hawana ufahamu, kifupi wako primitive

Lakini kiUkweli hapo ni Utovu wa shukrani. Yan hata hao walioandamana si ni ishara wazi kwamba walikuwa wanawaunga mkono ktk.harakati zao na kuonesha kusikitishwa na kile kilichokuwa kinaendelea hapo nchini kwao? OK. kama ndo hivo; wameshindwa hata kumtaja Hezbollah na raia wa Lebanon kwa ujumla ambao walidhuriwa kwa ajili yao? Basi labda wangeliishukuru Israel kwa kuridhia cease fire deal. Halafu wameshindwa hata kuficha ile megalomania ya Waislam wengi kujiona wao ndo wako sahihi na wengine ni makafiri.
Hamas ni jeshi la kimya kimya hawana muda huo wao si jeshi rasmi la nchi, sasa labda Palestine kama nchi wao wataandaa hizo shukurani utakazo
 
Utukanwe k ya mama ako useme watu wana matusi
Hilo sio tusi mama wote duniani wana K, au wa kwako hana?
Huna tusi jipya la kutukana...ndio maana nilisema ni mmoja tu naye ni Nifah ndio anajielewa...umethibitisha hilo
 
To be fair, siyo Wapalestina wote.

Hamas ndo wa kulaumiwa kuhusu hiki kilichotokea baada ya Oktoba 7.

Viongozi wa Hamas ni wapumbavu na ni majuha.

Hakuna cha maana walichokipata zaidi ya kuuliwa na kudhalilishwa. Wamefunuliwa mafuvu, wengine wamehasiwa kwa kulipuliwa makende, n.k.

Wamesababisha Wapalestina zaidi ya 40K kufa.

Wengine wamepata vilema vya maisha.

Kuna watoto ambao wamekuwa mayatima.

Gaza imevunjwa vunjwa. Hakuna cha maana kilichobaki pale.

Halafu bado kuna watu wanadai eti Hamas imeshinda!

In the end, anybody with half a brain would ask Hamas; was it worth the blood spilled and the [little] treasure spent?

Palestinians in Gaza should thoroughly reject Hamas going forward.
Ukiacha yaliyotokea Gaza, angalia hasara waliyopata Hezbollah kwa kuwatetea Hamas, hasara waliyopata Houthi na Raia wa Yemen ukiachilia mbali hasara waliyopata Iran ikiwemo Rais wao kufa kifo cha kutatanisha.
Lakini leo watu wanashangilia Gaza eti Hamas wameshinda vita. Hamas ambao walisahau sare zao wakafanana na raia na kujificha kwenye mahandaki, wanatoka mtaani na magwanda yao na siraha na kushangilia kwamba wameshinda baada ya vita kusitishwa.
Nimeamini kuna jamii zina shida zaidi ya shida yenyewe.
 
Evicting someone, with force, from his homeland..
Wewe umeichukua Nakba kwa upande unaoamini wewe. Ila ni moja ya tukio ambalo historia yake haiko clear sana.
Moja ya watu waliowasababishia wapalestina mateso ni Arab League ambao walihisi wanaweza kuwasaidia wapalestina ila wakawaingiza kwenye mateso makali.

Mimi naamini wapelestina wataishi kwa amani pale watakapotenganisha harakati za kudai uhuru na dini. Shida wanajificha katika harakati za kudai nchi wakati malengo yao ni ya kidini zaidi ambayo ni kuirejesha Al Quds katika umiliki wao.
 
Ukiacha yaliyotokea Gaza, angalia hasara waliyopata Hezbollah kwa kuwatetea Hamas, hasara waliyopata Houthi na Raia wa Yemen ukiachilia mbali hasara waliyopata Iran ikiwemo Rais wao kufa kifo cha kutatanisha.
Lakini leo watu wanashangilia Gaza eti Hamas wameshinda vita. Hamas ambao walisahau sare zao wakafanana na raia na kujificha kwenye mahandaki, wanatoka mtaani na magwanda yao na siraha na kushangilia kwamba wameshinda baada ya vita kusitishwa.
Nimeamini kuna jamii zina shida zaidi ya shida yenyewe.
Ndo maana nimewaita wapumbavu, hao Hamas na washabiki wao humu!

Kwa yaliyotokea Gaza, kama huo ndo ushindi, Basi sawa.

Katika moja ya haki za msingi kabisa ambazo mtu hawezi kunyang’anywa, ni haki ya kuwa mjinga na mpumbavu 🤣.

Hivyo, wanayo haki ya kuwa wajinga na wapumbavu.
 
Hilo sio tusi mama wote duniani wana K, au wa kwako hana?
Huna tusi jipya la kutukana...ndio maana nilisema ni mmoja tu naye ni Nifah ndio anajielewa...umethibitisha hilo
Mama yako angetaka abortion ningetoa pesa.. sluts
 
Naomba unioneshe sehemu yoyote niliyoandika neno "UBAGUZI" kinyume na hapo utakuwa unanilisha maneno tu mkuu na sio vizuri kumlisha mtu maneno ambayo hajayatamka wala kuyaandika.

Usitumie "HISIA" kwenye mijadala kama hii, tumia "UBONGO" zaidi.
Sawa. Ni kweli hujaandika neno UBAGUZI; Lakini ulimaanisha nini katika maneno haya? "....tuungane tuwe kitu kimoja, tupendane sisi kwa sisi kwanza, tusichukiane, tusiuane na tuhakikishe tunakemea kitu chochote kibaya kinachoelekezwa kuja kwetu." au labda hukuiona maana iliyojificha katika sentensi hiyo? Manake sisi kwa sisi i.e. tujitenge (isolate)tuwe na kundi letu Black people - unajinasibu (identify)kuwa ww ni mtu mweusi......
 
Changamoto ni kuwa pro-Israel mliamini kuwa Hamas wamefyekelewa mbali.
Lakini majamaa yalipoibuka na SMG mikononi huku yamefunga vitambaa vyeusi usoni mmevunjika moyo.
Tuseme tu Hamas kwenye vita hivi walikomaa kikweli kweli.
 
Ndo maana nimewaita wapumbavu, hao Hamas na washabiki wao humu!

Kwa yaliyotokea Gaza, kama huo ndo ushindi, Basi sawa.

Katika moja ya haki za msingi kabisa ambazo mtu hawezi kunyang’anywa, ni haki ya kuwa mjinga na mpumbavu 🤣.

Hivyo, wanayo haki ya kuwa wajinga na wapumbavu.
😀
 
Kama wamefanya hivyo wamekosea sana, sana!
Vuguvugu la SA limechangia pakubwa maamuzi yaliyotolewa na ICC, kuna watu waliandamana UK, wanafunzi US.

Kuna makundi mengi sana ambayo kuyataja ni heshima na shukrani na zisingezidi dakika 3.

Hizo nchi za kiarabu wanafki wakubwa zaidi ya Iran, Yemen, Qatar na Lebanon waliwapambania wapi tunaofutilia hiyo vita tusione?

Next time watakosa wa kuwasemea maana vita yao haiishi ni imeenda half time tu.

Mleta mada hajafanya uchunguzi vizuri. Katika tamko la Kiongozi wa kisiasa wa HAMAS, kashukuru South Africa, Ireland, Iran, Yemen n.k
 
Changamoto ni kuwa pro-Israel mliamini kuwa Hamas wamefyekelewa mbali.
Lakini majamaa yalipoibuka na SMG mikononi huku yamefunga vitambaa vyeusi usoni mmevunjika moyo.
Tuseme tu Hamas kwenye vita hivi walikomaa kikweli kweli.
Kazi ya askari au mwanajeshi ni kulinda na Raia na mali zao. Sasa kama Askari anajificha kwenye handaki anawaacha raia wanataabika halafu baada ya vita kusitishwa wanaibuka na magwanda yao mtaani kushangilia huo ni upumbavu.

Na mpumbavu na punguani zaidi ni yule anayewqona askari ambao waliwatelekeza raia wao kama mashujaa.
 
To be fair, siyo Wapalestina wote.

Hamas ndo wa kulaumiwa kuhusu hiki kilichotokea baada ya Oktoba 7.

Viongozi wa Hamas ni wapumbavu na ni majuha.

Hakuna cha maana walichokipata zaidi ya kuuliwa na kudhalilishwa. Wamefunuliwa mafuvu, wengine wamehasiwa kwa kulipuliwa makende, n.k.

Wamesababisha Wapalestina zaidi ya 40K kufa.

Wengine wamepata vilema vya maisha.

Kuna watoto ambao wamekuwa mayatima.

Gaza imevunjwa vunjwa. Hakuna cha maana kilichobaki pale.

Halafu bado kuna watu wanadai eti Hamas imeshinda!

In the end, anybody with half a brain would ask Hamas; was it worth the blood spilled and the [little] treasure spent?

Palestinians in Gaza should thoroughly reject Hamas going forward.
Hili "Palestinians in Gaza should thoroughly reject Hamas going forward." wangeliligundua na kulitekeleza kwa gharama yoyote mapema kabla ya 07 Okt. 2023; leo tungeongea kivingine. Lakini walichelewa mno yakawakuta.
 
Sawa. Ni kweli hujaandika neno UBAGUZI; Lakini ulimaanisha nini katika maneno haya? "....tuungane tuwe kitu kimoja, tupendane sisi kwa sisi kwanza, tusichukiane, tusiuane na tuhakikishe tunakemea kitu chochote kibaya kinachoelekezwa kuja kwetu." au labda hukuiona maana iliyojificha katika sentensi hiyo? Manake sisi kwa sisi i.e. tujitenge (isolate)tuwe na kundi letu Black people - unajinasibu (identify)kuwa ww ni mtu mweusi......
Yes tupendane sisi kwa sisi tusichukiane kwasababu waafrika tuna tabia hiyo hata humu ndani tu mmekuwa mkitukanana na kutishiana kisa wayahudi na wapalestina why? Why doing such a thing beautiful people of JAH?
 
Back
Top Bottom