Hamas hawana shukran au hawana ufahamu, kifupi wako primitive

Yes tupendane sisi kwa sisi tusichukiane kwasababu waafrika tuna tabia hiyo hata humu ndani tu mmekuwa mkitukanana na kutishiana kisa wayahudi na wapalestina why? Why doing such a thing beautiful people of JAH?
Mi nilitegemea useme tuwapende binadamu wote kwani wote ni wenzetu na Muumbaji wetu ni mmoja.
 
Nchi ya kiarabu kaitaja moja 1 Yemen peke yao Pelestina kila siku wanaitaja Africa Kusini kama ndugu zao wa dhati.

Wamewashukuru watu wate walikuwa wanawapambania.
Na sikitika ndugu kobazi wa mchamba wima hukukumbukwa pamoja na jitihada zako za kuwashobokea mabwana zako kwa miezi 15 ila hawakutambui kama ni mtu zaidi wanakuona mtumwa tu na wanakushangaa na bichwa lako kama mkate wa bofloo ( mkate mkubwa ndani hakuna kitu)
 
Israel ndiyo waliokiuka sheria za kimataifa kwa kuua raia wasiokuwa na hatia.Wameangusha majumba,wamepiga huduma za kijamii kama hospitali,miundo mbinu kwa kuamini Maadui wako katika ya watu.
Hamas wao walideal na wanajeshi wa Israel.
Kwa kifupi pande zote zilikiuka sheria za kimataifa katika vita.
Vita siyo kitu cha kushabikia kabisa!
 
Mi nilitegemea useme tuwapende binadamu wote kwani wote ni wenzetu na Muumbaji wetu ni mmoja.
Narudia tena sisi waafrika inatakiwa tuanze na matatizo yanayotuhusu sisi kwanza kabla ya wengine,wazungu wanajadili matatizo yao kwanza kabla ya wengine ndio maana wanafanikiwa. Mpalestina wala myahudi hana muda wa kujadili matatizo yenu nyinyi waafrika ila nyinyi waafrika ndiyo mnajadili matatizo yao ambayo hayawahusu. Ndio maana umekimbilia mbali kwa wayahudi na wapalestina wakati ndugu zako wakongo hapo jirani tu wanakufa na hujawahi hata kuwaposti?
 
Muda si mrefu itaondolewa kwenye uso wa Dunia itskuwa historia.

GOD BLESS ISRAEL
 
Usiniquioteunapokuwa unatoa upuuzi wako
 
Kaongea kishabiki
 
.., hakuna nchi za kizungu ata 1 ilisimama na palestina kwa dhati ukitoa wananchi wema ambao walikuwa wanaandama kupinga mauaji ya kimbari,
South Africa sio nchi ya kizungu
 
At least muisrael amekutengenezea paracetamol ambayo ukipewa jero na ndugu yako mweusi, utaenda kupata fulani hapo tu jirani
 
Eeeenhe! Kweli umepania Waafrika wawe matawi ya juu; juu zaidi, juu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…