Sina matusi mimi wewe ndiyo ZIRO kabisa unapinga Israel hawajakiuka makubaliano si bwege kabisa wewe. Acha historia ya Israel najua historia ya Mashariki ya Kati yote.
Wewe najua umeshikiwa akili na CNN. BBC, Fox News, Abc, unategemea hizo media za mabwana zako wataandoika habari za Hamas.
Historia ya Israel huijui ungeijua using kuwa unabwabwaja ovyo ovyo hapa Kama umeshindwa kujua historia ya Israel ya Mashariki ya kati utaijuwa wapi? Yawezekana unaijua lakini umekumbwa na mihemko ya kidini ambayo imekufanya usione mbele wala nyuma. Hata historia ya unaowaita wewe Wapalestina huijui na hujui kuwa hawa walianza kuitwa Wapalestina na Yasser Arafat 1967 nyuma huko hawakuwepo wewe hata hilo hujui. Na kama unajifanya unajua historia ya hao unaowaita wewe wapalestina nakuomba unijibu Maswali yangu haya;-
I expect you to be able to answer a few basic questions about that country of Palestine :
1) Taifa hilo liliundwa lini na wapi na nan?
2) Nitajie Mipawa yake walikuwa wana paka a na nchi gani?
3) Mji wake Mkuu ulikuwa Una it wake?
4) Nitajie Miji mingine mikubwa iliyokuwepo huko!!
5) Uchumi wao ulikuwaje? What constituted the basis of its economy?
6) Serikali yao ilikuwa ya MFUMU upi? What was its form of government?
7) unaweza kunitajia kiongozi au viongozi wake ukoi ndoa Yasser Arafat?
8) Je Palestina unayoijua wewe ilitambuliwa na nchi gani?.
9) Hiyo Palestina unayoijua wewe lugha yao ya Taifa ilikuwa ipi?
10) Pesa yao ilikuwa inaitwa je? Dollar,Dinar au Shilling?
Leo nimekupa maswali hayo tu Najua hata kutesa sana kuya jibe kwa kuwa hapa kuwa na nchi iliyokuwa inaitwa Palestina.. Lakini kwa kuwa umemezeshwa uongo jibe hayo maswali!!!