Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 875
- 633
Soma hii wewe punguani.
Makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza yanatazamiwa kuanza tena huku utawala wa Israel ukiruhusu kuingia kwa maelfu ya mahema na misafara ya Wapalestina waliokimbia makazi yao ambao nyumba zao ziliharibiwa wakati wa uvamizi wa hivi karibuni wa Israel kwenye eneo hilo.
View: https://x.com/qudsnen/status/1889949547713212529?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Acha ujinga hiyo misaada israel haijawahi kuizuia Hamas walitaka tu kuonyesha ni vidume baada ya mkwara wa Netanyahu wameufyata na kutafuta kisingizio. Baada ya mkataba kutiwa saini israel iliendelea kuheshimu mkataba huo lakini magaidi hao walipotaka kuleta za kuleta ndipo wakapigwa mkwara huo. Walitaka kubana sasa wameachia wenyewe. Wadanganye wajinga wasio juma kitu. Kwa taarifa yako tu Israel inawavutia pumzi tu hao magaidi wakiingia kwenye 18 za IDF ndipo utajua kuleta Taqiya nyingine maana uongo ndiyo ilishakuwa tabia ya magaidi na wapambe wao Kama wewe!!