Hamas kusitisha makubaliano kuachiliwa mateka kutokana wa Israel kushindwa kutimiza makubaliano

Wewe punguani hauna unachojua unaleta mipasho tu.

Hujui hata kama jana Qatar na Misri wamekutana na Israel na Hamas.


View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1890044325721153587?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Tatizo lako wewe humjui hata huyo Sulaymaniyah Ahmed Una huku a tu habari zake na kuzileta hapa bila kujua huyo ni Hamas Sympathizer hao ni waajiriwa wa Magaidi wameajiriwa kuwapamba magaidi wao hata Hamas anapigwa wao wanampamba tu walikuwa wanavamia pia Hezbollah wamechakazwa vibaya sana lakini wao bado wanawapamba tu na wewe wameshakuambukiza Ujinga huo wa kusicie kila kitu hata kama si kweli.
 
Safi sana.,, Tramp kakimbia uko Ukraine ili aje alete ulokole wake mashariki ya kati!! Lile Puto Zeee!! linachuki sana.
 
Wewe Zoba kweli kwaiyo tukiamini wewe mchungaji vinena eti nayeye kapandisha Uzi kufanya propaganda ya uwongo wkt ukweli Israel imeruusu mizigo kwasasa inapita kama mkataba ulivotaka!!! Sasa kanyewe kakawai kutupia Ushuzi wake Ivi mwiko kwenu kusema Ukweli mlokole gani muongo muongo ivi.!!!!
 
Najua kabisa silaha kuu kwa Wafuga Midevu na Majini ni Matusi na Kuba sika watu mamina ili tu ku kutoa kwenye reli. Kwanza matusi yako hawawezi kukusaidia kujibu hoja zangu ,Israel haijawahi kusitisha kupeleka misaada Gaza lakini magaidi wa Hamas walikuwa wana Test Mitambo yao sasa Netanyahu kawaambia ifikapo saa 6 mchana Jumamosi bila Hamas kuachiwa mateka basi yeye atalifungua lango la kuzimu bahati mbaya kabisa magaidi hao wameogopa na kutangaza kuwa wafungwa watawaachia, washukuru Allah wao kawashitua mapema safari hii walikuwa wanaisha wote kabisa nguruwe hawa!!
 
Kenge akinita mimi mjinga na mpumbafu inabidi nicheke tu hahahaha
Kenge atabaki kuwa kenge tu.
 
Uyo mlokole leo sijui kavuta cha Talime!!!! Ukweli upo wazi lkn yeye analazimisha afanye propaganda mana watu Ukweli upo wazi!!!! molori mengi tangu jana adi Leo yameingia GAZA picha apa Zipo au aendea Al jazeera lkn milokole janga zito kwa Taifa .uyo TRAMP mbele ya Palestina ni PUTO la watoto akuna Wakumtisha pale!!!
 
Baada ya muda kupita wasipotekeleza maagizo makuu Gaza itakuwa eneo lisilo na viumbe vinavyoishi!
 
Kenge akinita mimi mjinga na mpumbafu inabidi nicheke tu hahahaha
Kenge atabaki kuwa kenge tu.
Wewe ndiyo hakuna kitu kabisa hujui kitu umieją zwą ujinga na masheikhe wenu msikitini leo hii Niki ku uliżą tu Historia ya Palestina hujui lakini humu umekomaa na kushupaza shingo zaidi mmejazwa matusi tu kwa watu. Humjui mnachoshabikia muulize babu yenu Ritz nimeipima akili yake kwa maswali macha he nikaona hakuna kitu hapo naye anashabikia asichokijua mnaishambulia Israel msiyoijua na kuwashabikia Wapalestina msiowajua mmemezeshwa Propaganda za kijinga na waarabu!! Hakuna hoja yoyote mnaweza kutoa bali matusi tu. Someni historia muondokane na Ujinga.
 
Kwaiyo wewe mlokole kuita Binadam wenzio nguruwe ndio ulokole wako umekuelekeza ivyo!!! Msingi upo na ww unajua Hamas

walichokigomea ni uchache wa malori yani leo kwa siku 1 inatakiwa malori 50 ya Mchele Sasa Israel ikawa inazuiya Kule Border yapite 20 tu kwa siku ivyo ivyo kwenye Bidhaa zengine kinyume na Mkataba!!!

Ndio HAMAS ikasema Inasitisha kuendelea kuachia mateka adi malekebisho yafanyike ikiwemo kufidia upungufu uliosababishwa na Israel kufatana na Mkataba

sasa kwanzia jana Border inacheuwa molori yanapita zaid ya esabu kwa Siku ili kufidia weeks za nyuma! Ndio HAMAS nao Wakasema itaendelea kama Mkataba ulivotaka siku ya J.mosi

sasa wewe utaki ukweli unadai Hamas imeogopa kipigo lini Hamas waliogopa kipigo wapi!! kwani nani alikubali kusitisha Vita na kutekeleza matakwa ya Hamas si Netanyahu au unajisaaulisha!!!!! Mlokole leo Tena udai Hamas wameogopa kipigo!!!!! Punguza ujinga ndugu.
 
Ujinga unao wewe mwenyewe Israel haijawahi kupunguza msururu wa magari ya misaada Hamas alitaka kupiła kina cha maji lakini alipoambiwa lango la kuzimu litafunguliwa alielewa kaamua kurudi kwenye mstari. Mnajitahidi sana kuwasafisha Hamas lakini nilishawaambia na Babu yenu Ritz kuwa Hamas kwa madhambi waliyoyafanya Oct 07,2023 hawasafishiki kabisa kwa hiyo mnajisumbua bure tu. Israel wao walishasema chakula watapewa na kipigo nacho lazima wakipate na Hamas kutawala Gaza mwisho Mwaka huu. Pia muache uongo hiyo idadi ya magari yanayopaswa kupeleka misaada wewe umeipata wapi?
 
Mnaonekana mna ugomvi na Ulokole maana haipiti kwenu jambo bila kunihusisha mimi na Ulokole kitu ambacho hakihusiani kabisa na kufyata mkia kwa Magaidi wa Hamas!!
 
Msururu huo ulikuwepo toka Jumapili sema tu magaidi wa Hamas walitaka kuijaribu Israel na kama tujuavyo Israel haijaribiwi walipoona haitikisiki na ikaanza kujiandaa kushusha kipondo cha mbwa-koko bahati mbaya kabisa Hamas walipoona hivyo waliamua kurudi nyuma na kusalimu amri na Jumamosi watarudisha mateka waliowateka kinyama Oct 07,2023
 
Hahahha wewe jamaa sijui unaumia nini kila kitu kipo wazi unaletwa kila ushahidi unakataa yaani upo Uyole unapiga mambo ya Gaza😅

Ceasefire mediators:

Israeli occupation authorities to allow entry of mobile homes, fuel and medical equipment tomorrow so that the Palestinian resistance is to release 3 Israeli prisoners on time!
Trump and Netanyahu have been just defeated again!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…