Hamas kusitisha makubaliano kuachiliwa mateka kutokana wa Israel kushindwa kutimiza makubaliano

Hilo Neno kubwa kuwa wameunda safu kubwa ipi hiyo? Kuvalisha watoto uniform wakati wa kubadirishana mateka, au kuvaa Uniform za kijeshi wakati kuna mkataba wa kusitishwa mapigano na kuvaa kiraia wakati wa vita? Nilitarajia sana Hamas washupaże shingo ili Jumamosi mchana tuone je watavaa uniform au watazichojoa?.
 
JF kuna vituko yaani nimecheka sana wewe upo Makete unataka kuwapangia Hamas😅

Eti nilitarajia wewe nani😅


View: https://x.com/muhammadshehad2/status/1890025633847050283?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Wewe unafikiri mimi ni zuzu kama wengine unaowazuga kwa habari zako ambazo hazina-
1. CREDIBBLE SOURCE
2. RELIABLE SOURCE
3. AUTHOURITATIVE
Hayo uliyoandika hapo huwezi mimi kujifanya niamini upuuzi huo. Maana hata mimi naweza kuandika habari yako hiyo imekosa vitu vitatu hivyo hapo juu!! Wewe endelea tu kudanganya wajinga lakini anayejua mambo huwezi kumdanganya.
 
😅😅😅
 

Attachments

  • IMG_2712.jpeg
    1 MB · Views: 1
😀😀😀

Wewe hata ukipigiwa picha TV bado utapinga😂
 

Attachments

  • IMG_2712.jpeg
    1 MB · Views: 2
😅😅😅
Hiyo picha ulivyo weka hapo ndiyo nini sasa? Au ndiyo
1. CREDIBBLE SOURCE
2. RELIABLE SOURCE
3. AUTHOURITATIVE?
Inabidi niej nikupe somo la uandishi wa habari msiwe mnadandia fani za watu wengine !!
 
Hiyo picha ulivyo weka hapo ndiyo nini sasa? Au ndiyo
1. CREDIBBLE SOURCE
2. RELIABLE SOURCE
3. AUTHOURITATIVE?
Inabidi niej nikupe somo la uandishi wa habari msiwe mnadandia fani za watu wengine !!
Link hii hapa chini ya AlJazeera

Wewe unatuambia Israel hajawahi kuzuia magari yeyote ukiambiwa weka ushahidi hauna unaandika gazeti nakuwekea ushahidi wa Israel kuzuia magari kuingia Gaza.

Kwa faida ya JF weka na wewe ushahidi wa maneno yako kuwa hawajazuia magari.

Usipoweka unaingia kwenye kundi la mapunguani mashabiki mandazi.


View: https://x.com/ajenglish/status/1890008660795138400?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Hakuna haja hata ya ushahidi Hamas walichokuwa wanafanya ni kutoa tuhuma ambazo hazina ukweli wowote waziri wa Ulinzi alitolea ufafanuzi. Israel haijavunja masharti yoyote misururu ya misaada inaendelea kuruhusiwa kupita. Tuhuma hizi za magaidi wa Hamas Zilikuwa na lengo la kuijaribu Israel au Hamas inajaribu kuficha au kuogopa kuwatoa wale mateka yawezekana wameteswa na kukondeana sana sasa Wanataka kutumia visingizio mbalimbali ili dunia isione uovu wao kwa mateka wanajitahidi kuwapa chakula washibe ili Jumamosi wasiaibike.hii picha nimekuwekea ni ya jumapili
 

Attachments

  • השקרים_של_חמאס_הסיוע_לא_נכנס_הנה_התמונות_מהבוקר_600_משאיות_בכל_יום.mp4
    2.1 MB
  • IMG_1657.jpeg
    361.8 KB · Views: 1
Hahahh hoja dhaifu mateka wamekuwa mbuzi wakipewa chakula wananenepa😅
Yaani wewe umekuwa msemaji wa Hamas😂

Hamas walipiga mkwara baada Israel kuzuia misaada kuingia juzi wameruhisu baadhi. Walivyosikia ile kauli ya Hamas walidhani Hamaa hawana mateka Hamas kawambia wapo na Jumamosi tutaachia watatu Isarael wamezira😅

BREAKING: Kiongozi wa Hamas Osama Hamdan aliambia Al-Araby TV:

"Tuna saa 48 za kuwakomboa mateka wa Israel, na kizuizi chochote cha upande wa Israel katika kuruhusu misafara na vifaa vizito kuingia Gaza kutachochea harakati za Hamas."


View: https://x.com/suppressednws/status/1890201650876543427?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
  • Hamas said it will release three captives from Gaza on Saturday as scheduled following talks with ceasefire mediators Egypt and Qatar.
  • Israel has said Hamas must release three living captives or Israeli forces will return to war in the Palestinian territory.
  • Hamas spokesperson Abdul Latif al-Qanou said the language of threatsmade against Gaza by United States President Donald Trump and Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu does not serve the Gaza ceasefire’s implementation.
  • A senior UN official has likened the devastation in the Gaza Strip to “a massive earthquake” and said efforts must be made to avoid a continuing “humanitarian catastrophe”.
  • Gaza’s Health Ministry has confirmed 48,239 deaths in Israel’s war on Gaza while 111,676 people have been wounded. The Government Media Office has updated its death toll to at least 61,709 people, saying thousands missing under the rubble are now presumed dead.
  • At least 1,139 people were killed in Israel during the October 7, 2023 attacks and more than 200 were taken captive.
 
Hamas ilisema itawaachilia mateka watatu kutoka Gaza siku ya Jumamosi kama ilivyopangwa kufuatia mazungumzo na wapatanishi wa kusitisha mapigano Misri na Qatar.
Israel imesema Hamas lazima iwaachilie mateka watatu walio hai la sivyo vikosi vya Israel vitarejea vitani katika ardhi ya Palestina.
Msemaji wa Hamas Abdul Latif al-Qanou alisema lugha ya vitisho iliyotolewa dhidi ya Gaza na Rais wa Marekani Donald Trump na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu haitumiki katika utekelezaji wa usitishaji mapigano Gaza.
Afisa mkuu wa Umoja wa Mataifa amefananisha uharibifu katika Ukanda wa Gaza na "tetemeko kubwa la ardhi" na kusema juhudi lazima zifanywe ili kuepusha "janga la kibinadamu" linaloendelea.
Wizara ya Afya ya Gaza imethibitisha vifo vya watu 48,239 katika vita vya Israel dhidi ya Gaza huku watu 111,676 wakijeruhiwa. Ofisi ya Vyombo vya Habari vya Serikali imesasisha idadi yake ya vifo kwa takriban watu 61,709, ikisema maelfu waliopotea chini ya vifusi sasa wanakisiwa kufariki.
Takriban watu 1,139 waliuawa nchini Israel wakati wa mashambulizi ya Oktoba 7, 2023 na zaidi ya 200 walichukuliwa mateka.
 
Hivi hezbullah wapo?Mbona wamepoa sana maalim,nini kimewapata hawa wana muqawama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…