PALESTINA Wenyeji wanafaamika ata na UN wanawajua dheni na Waliokuja na Majaahazi kuamia eneo lile pia UN inawajua!!! vip Mgeni awe ndio mwenye Ardhi!!!!
Kenge awa mungu FUNDI sana kuwapeleka kwa Warabu ambao ndio Wenye Iman thabiti Mwarabu kamwe atokubali eneo lao lichukuliwe Kibabe hii Vita inamiaka mingine 20 pengine lkn waisrael awatawai kupata Aman ktk Ardhi ile Mungu Fundi sana
MIGAID Wakatili sana Waisrael kwenda kuangukia Pele sawa na mbuz kufia kwa muuza Supu!!! Awa waisrael kama Wangekuja Africa wangetusumbua Sana
au Wangeenda America kusini kote uko wangenyakuwa Ardhi na kuuwa ovyo sidhani kama Wangepeta Upinzani kama huu wanaokutana nao mana HAMAS aitaji pesa anapigania Ardhi yao Iman yao,,
kinachofanya IDF Wawepo apo GAZA ni kimoja tu Jesh la Anga ili jesh ndio linazuiya HAMAS wasipigane Hana kwa Hana au Wapigane muda Mfupi na kupotea ili kukwepa Jeshi la Anga Kama sio ANGA haaaaa sasaivi HAMAS Wangekuwa Washachukua Ardhi yao yote,,,
Lkn leo sio jana Mpalestine alikuwa anatumia mawe lkn Sasaivi japo mtutu anao na Yumkini miaka 3 au 4 uko mbele nayeye akawa kama hezbollah akachagua pakupiga sio kurusha tu Makombora Ovyo
ukweli siku baada ya Siku ndio Mvamizi anakabiliwa na Hatari kubwa kuliko Jana. Vile sasa technology inawafikia Wapalestina,
ndio mana Netanyahu na washauri wake wanajua muda ndio huu kuichukua GAZA Baada ya miaka 3 Vita Itakuwa ngumu kwao
kama ile ya Hezbollah, iyo Hezbollah nayo Baada ya miaka 3 ndio IDF asogei kabisa ule upande. Kwasasa Wairan Wawasaidie uwezo Wa kuzishusha zile ndege apo sasa ndio IDF watagoma kabisa kusikia Habari ya Vita na HAMAS au Hezbollah,, Wakiweza kushusha ndege Iran abaki tu zile Promis zake ili kuzitwanga Store zilizojazwa silaha kutoka marekani na kwengineko,,, YEMEN afunge Bahari Waisrael kwishaaaa,,,