Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
- Thread starter
- #261
Ndiyo maana nakuita punguani yaani haya mauaji ya Magaidi ya Israel na Marekani kwako unaona ni sawa.Hamas ni Magaidi wanaachia watu wazima na kuwaacha watoto wadogo na Mama yao Israel ilitaka wafunguliwe kwanza watoto na mama yao lakini Magaidi hao wameendeleza kushupaza fuvu tunajua nia yao ni kuendelea kumfanyia vitendo viovu huyo mama!! Hamas ni Magaidi wanastahili kupigwa sana eti wanaitwa Wapigania uhuru!! Kumbe siku hizi ukiwa Mbakaji,Mtekaji nyara na muuaji unaitwa Mpigania uhuru!!
Hii habari ya mwaka jana
More than 25,000 women and children have been killed in Israel’s war on Gaza since October 7, according to US Defence Secretary Lloyd Austin, raising questions about the moral and legal aspects of the military tactics used by Tel Aviv.>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Speaking during a congressional hearingon Thursday, Austin was asked by Congressman Ro Khanna how many Palestinian women and children had been killed by Israel, replying: “It is over 25,000.”
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Zaidi ya wanawake na watoto 25,000 wameuawa katika vita vya Israel dhidi ya Gaza tangu Oktoba 7, kulingana na Waziri wa Ulinzi wa Marekani Lloyd Austin, na kuibua maswali kuhusu masuala ya kimaadili na kisheria ya mbinu za kijeshi zinazotumiwa na Tel Aviv.
Akizungumza wakati wa kikao cha bunge siku ya Alhamisi, Austin aliulizwa na Mbunge Ro Khanna ni wanawake na watoto wangapi wa Kipalestina wameuawa na Israel, akijibu: "Ni zaidi ya 25,000."