Hamas kusitisha makubaliano kuachiliwa mateka kutokana wa Israel kushindwa kutimiza makubaliano

Hamas ni Magaidi wanaachia watu wazima na kuwaacha watoto wadogo na Mama yao Israel ilitaka wafunguliwe kwanza watoto na mama yao lakini Magaidi hao wameendeleza kushupaza fuvu tunajua nia yao ni kuendelea kumfanyia vitendo viovu huyo mama!! Hamas ni Magaidi wanastahili kupigwa sana eti wanaitwa Wapigania uhuru!! Kumbe siku hizi ukiwa Mbakaji,Mtekaji nyara na muuaji unaitwa Mpigania uhuru!!
Ndiyo maana nakuita punguani yaani haya mauaji ya Magaidi ya Israel na Marekani kwako unaona ni sawa.

Hii habari ya mwaka jana
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
More than 25,000 women and children have been killed in Israel’s war on Gaza since October 7, according to US Defence Secretary Lloyd Austin, raising questions about the moral and legal aspects of the military tactics used by Tel Aviv.

Speaking during a congressional hearingon Thursday, Austin was asked by Congressman Ro Khanna how many Palestinian women and children had been killed by Israel, replying: “It is over 25,000.”
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>

Zaidi ya wanawake na watoto 25,000 wameuawa katika vita vya Israel dhidi ya Gaza tangu Oktoba 7, kulingana na Waziri wa Ulinzi wa Marekani Lloyd Austin, na kuibua maswali kuhusu masuala ya kimaadili na kisheria ya mbinu za kijeshi zinazotumiwa na Tel Aviv.

Akizungumza wakati wa kikao cha bunge siku ya Alhamisi, Austin aliulizwa na Mbunge Ro Khanna ni wanawake na watoto wangapi wa Kipalestina wameuawa na Israel, akijibu: "Ni zaidi ya 25,000."
 
Hamas:

Mediators could bring Gaza ceasefire back on track.

Israeli occupation leaders pledged to respect its obligations.

Palestinian resistance is to continue implementing all agreed upon terms of the ceasefire.
 
Baada ya Hamas kufanya unyama wa kutisha wakakimbil8a Jabaliya wakidhani watapata ahueni huko!! Lakini mkono mrefu wa majeshi ya Israel uliwafuata hukohuko walikokimbilia na kuwaangamiza. IDF ilitakiwq ifanye zaidi ya hapo ili kujibu mashambulizi ya kinyama yaliyofanywa na magaidi wa Hamas Oct 07,2023
Badala kupigana na Hamas wanapigana na watoto
Jeshi dhaifu.

Hamas hawa hapa.

View: https://x.com/revmaxxing/status/1890396486829003207?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Ndiyo maana nakuita punguani yaani haya mauaji ya Magaidi ya Israel na Marekani kwako unaona ni sawa.

Hii habari ya mwaka jana

More than 25,000 women and children have been killed in Israel’s war on Gaza since October 7, according to US Defence Secretary Lloyd Austin, raising questions about the moral and legal aspects of the military tactics used by Tel Aviv.

Speaking during a congressional hearingon Thursday, Austin was asked by Congressman Ro Khanna how many Palestinian women and children had been killed by Israel, replying: “It is over 25,000.”

Zaidi ya wanawake na watoto 25,000 wameuawa katika vita vya Israel dhidi ya Gaza tangu Oktoba 7, kulingana na Waziri wa Ulinzi wa Marekani Lloyd Austin, na kuibua maswali kuhusu masuala ya kimaadili na kisheria ya mbinu za kijeshi zinazotumiwa na Tel Aviv.

Akizungumza wakati wa kikao cha bunge siku ya Alhamisi, Austin aliulizwa na Mbunge Ro Khanna ni wanawake na watoto wangapi wa Kipalestina wameuawa na Israel, akijibu: "Ni zaidi ya 25,000."
Acha ujinga hao watu 25,000 hizo figure wamarekani walizipata wapi? Wakati magaidi wa Hamas wanaye msemaji wao wa wizara ya afya sasa hapo tumwamini nani? Wizara ya afya ya Gaza, Wamarekani au wewe Mmatumbi mwenzangu??
 
Badala kupigana na Hamas wanapigana na watoto
Jeshi dhaifu.

Hamas hawa hapa.

View: https://x.com/revmaxxing/status/1890396486829003207?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Kwa upande mwingine naweza kukubaliana na wewe Jeshi dhaifu la Israel limeweza kuwaua karibu viongozi wote wa Hamas akiwemo Gaidi Ismail Hanniye aliyeenda kujificha kwa bwana zake huko Tehran na Gaidi bobezi Yahya Sinwar. Jeshi dhaifu hilo pia liliweza kuwatia adabu magaidi wa Hezbollah na kuuwa Chain-Command nzima ya Hezbollah akiwemo Gaidi msifika Hassan Nasrallah. Jeshi hilo dhaifu vilevile iliwezesha kuuangusha utawala wa Assad uliokuwa unasaidiwa na Supapawa Russia. Jeshi hilo dhaifu liliweza kuwapogisha magoti baba wa ugaidi Iran baada ya kuangamiza mifumo yake yote ya ulinzi wa anga hivyo kumwacha anabwabwaja tu huku nchi yake ikiwa Uchida wa mnyama. Jeshi dhaifu la Israel pia liliweza kwa wakati mmoja kupigana na makundi ya kigaidi ya Hama,Hezbollah, Houthi, Syria,Iraq, magaidi walioko West-Bank na Baba yao Iran na akawashinda.
 
Magaidi wa Hamas ambao ni wabakaji, watekaji nyara watoto wadogo wiki mbili zilizopita walimwachia Mme wa Mama huyu harafu wakabaki na Watoto na Mama yao kwa haraka haraka unaweza kupata jibu kwa nini Magaidi hawa wanafanya hivyo. Waarabu-koko wa Buza hiyo hapo video
Uyu mama aliachiwa baadae tena Free na watoto alisaidiwa kubebewa!!
 
Acha ujinga huyo Mama bado anashikiliwa na Wabakaji magaidi wa Hamas wanaojiita wapiganaji. Uli kudhibitisha wao wana lengo baya walimwachia Mme wake tu
 
Acha ujinga hao watu 25,000 hizo figure wamarekani walizipata wapi? Wakati magaidi wa Hamas wanaye msemaji wao wa wizara ya afya sasa hapo tumwamini nani? Wizara ya afya ya Gaza, Wamarekani au wewe Mmatumbi mwenzangu??
Ndiyo maana nakuita punguani umesema habari za Gaza ni za uongo saizi unataka kuziamini hautaki habari za Marekani nakuwekea hizi data za mwaka huu.
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Wapalestina 46,707 waliuawa
Katika kipindi cha miezi 15 iliyopita, takriban watu 46,707 wameuawa huko Gaza, ambayo ni pamoja na watoto wapatao 18,000. Idadi ya waliofariki ina maana kwamba mtu mmoja kati ya kila watu 50 ameuawa huko Gaza. Wachambuzi wengi na makundi ya kutetea haki za binadamu wanaamini kwamba idadi halisi ya waliouawa ni kubwa zaidi.
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Kumbuka kwa mujibu wa Israel wanasema wanamgambo wa Hamas wapo 25.0000.

Soma hii data kisha endelea kubisha.

After 15 months of war, Israel and Hamas reach a ceasefire. Al Jazeera breaks down the impact on human life. Source: Al Jazeera The human toll of Israel’s war on Gaza – by the numbers
 
Kwa upande mwingine naweza kukubaliana na wewe Jeshi dhaifu la Israel limeweza kuwaua karibu viongozi wote wa Hamas akiwemo Gaidi Ismail Hanniye aliyeenda kujificha kwa bwana zake huko Tehran na Gaidi bobezi Yahya Sinwar. Jeshi dhaifu hilo pia liliweza kuwatia adabu magaidi wa Hezbollah na kuuwa Chain-Command nzima ya Hezbollah akiwemo Gaidi msifika Hassan Nasrallah. Jeshi hilo dhaifu vilevile iliwezesha kuuangusha utawala wa Assad uliokuwa unasaidiwa na Supapawa Russia. Jeshi hilo dhaifu liliweza kuwapogisha magoti baba wa ugaidi Iran baada ya kuangamiza mifumo yake yote ya ulinzi wa anga hivyo kumwacha anabwabwaja tu huku nchi yake ikiwa Uchida wa mnyama. Jeshi dhaifu la Israel pia liliweza kwa wakati mmoja kupigana na makundi ya kigaidi ya Hama,Hezbollah, Houthi, Syria,Iraq, magaidi walioko West-Bank na Baba yao Iran na akawashinda.
Jeshi dhaifu sana linapigana na watoto limeuwa zaidi ya watoto 18.000 cha ajabu Gaza ni ndogo zaidi ya Kigamboni lakini wameshindwa kuwamaliza Hamas na kuokoa mateka wao mpaka sasa hivi wamekubali masharti ya Hamas.

IDF walijaribu kuingia ardhini walichokutana nacho ni msiba wakaishia kubomoa majengo shule, hospital, shule na kusema Hamas walikuwa wamejificha huko.

Hamas sasa hivi wana silaha kibao za Israel 😀😀

Angalia hii unaweza kujiuliza wamezipata wapi.

View: https://x.com/legittargets/status/1888996354661425311?s=48&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Ndiyo maana nakuita punguani umesema habari za Gaza ni za uongo saizi unataka kuziamini hautaki habari za Marekani nakuwekea hizi data za mwaka huu.

Wapalestina 46,707 waliuawa
Katika kipindi cha miezi 15 iliyopita, takriban watu 46,707 wameuawa huko Gaza, ambayo ni pamoja na watoto wapatao 18,000. Idadi ya waliofariki ina maana kwamba mtu mmoja kati ya kila watu 50 ameuawa huko Gaza. Wachambuzi wengi na makundi ya kutetea haki za binadamu wanaamini kwamba idadi halisi ya waliouawa ni kubwa zaidi.

Kumbuka kwa mujibu wa Israel wanasema wanamgambo wa Hamas wapo 25.0000.

Soma hii data kisha endelea kubisha.

After 15 months of war, Israel and Hamas reach a ceasefire. Al Jazeera breaks down the impact on human life. Source: Al Jazeera The human toll of Israel’s war on Gaza – by the numbers
Kuuwawa Magaidi wa Hamas 46,707 mbona wachache sana!! Ukiona video za magaidi na raia wa Palestina siku ya Oct 07,2023 walivyokuwa wanafurahia kuwabaka,Kuwatesa,Kuwateka na kuwaua raia wasio na hatia wa Israel wala hutashangaa kujua kuwa huko Gaza hakuna watu wasio na hatia karibu wote ni magaidi na wanafurahia kuua wayahudi. Israel ishukuru kwa sababu Ina nguvu za kijeshi maana w angekuwa dhaifu basi waarabu walikuwa tayari kuwaua wayahudi wote. Sasa Kazika hali hiyo kwa nini Israel isifanye kinyume chake?? Hamas watulie waache kulialia kama vitoto vya nguruwe walivamia wenyewe na sasa acha mvua ya mawe iwanyeshee. Hao 47,707 ni wachache sana tuiombe tu israel iweke huruma pembeni badala yake ilale kiulalo-ulalo na magaidi hao ili safari nyingine isiwepo Oct 07.
 
Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri, Badr Abdelatty, alitangaza kwamba Misri inatayarisha mpango wa kuijenga upya Gaza bila ya kuwafukuza Wapalestina kutoka Ukanda huo, huku Trump akishinikiza kuondolewa kwao.

Katika taarifa rasmi, Wizara ya Mambo ya Nje ilithibitisha dhamira yake ya kuwasilisha 'mpango jumuishi wa ujenzi wa Gaza ambao unawahakikishia Wapalestina kubaki kwenye ardhi yao, kwa mujibu wa haki zao halali na za kisheria.'

View: https://x.com/qudsnen/status/1890472329009861028?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Back
Top Bottom