Hamas kusitisha makubaliano kuachiliwa mateka kutokana wa Israel kushindwa kutimiza makubaliano

Sa mimi nilikuliza swali una kwepa we unajua nini mana ya Bani Israel, Qur'an imewatofautisha kati ya watoto wa Yakobo ambao ni Bani Israel na Wayahudi.

Qur'an hakuna sehemu imesema Taifa la Israel ilicho sema taifa walilo ahadiwa watoto wa Yakobo ambao wapo Waislam, Wayahudi na Wakristo.

Wapalestina ni kizazi cha Bani Israel kizazi cha Yakobo we Kenge mmoja kwa Tarifa yako Palestine ilikuwepo tokea wakati wa Ibrahim sio wakati wa Yakobo tu.

Kenge atabaki kuwa kenge tu.
 
Acha kubwabwaja jibu maswali yangu??
 
Picha ya mfungwa wa Kizayuni "Alexander Turbanov" iliyoshikiliwa na Saraya Al-Quds wakati wa moja ya matembezi kwenye mwambao wa Ukanda wa Gaza.

Anavua samaki kwenye ufuo wa Gaza na kuandika barua kwa familia yake.

Huyu kaachiwa leo.

Kuna punguani mmoja humu nimecheka sana jana anaaema Hamas hawataki kuaachia mateka sababu wamekonda sana wanataka wawape chakula wanenepe ndiyo waachilie nikauliza wamekuwa mbuzi😅


View: https://x.com/suppressednws/status/1890504098484531279?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Tumia akili yako vizuri. hata hiyo ndogo itumie vizuri huyo uliymtaja hapo si mfungwa bali ni Mateka aliyetekwa na magaidi wa Hamas!!!
 
Ikiwa ndivyo, basi mjiandae, mwenye nguvu ni Trump, atawakabili vilivyo.
 
Magaidi wa Israel na Marekani pomojq na kuwafanyia unyama Wapelstina bado Wapelestina na dunia wapenda haki wapo pamoja.
Siamini kuwa niko Gaza ... Walituambia Gaza imekwisha ... Walinilazimisha kupoteza mguu wangu!"

Ujumbe kutoka kwa mvulana na mfungwa aliyeachiliwa Adel Tayseer Sobeih, akisimulia hadithi yake na yaliyompata ndani ya magereza ya Israel.



View: https://x.com/ramabdu/status/1890754476387999882?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…