Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sa mimi nilikuliza swali una kwepa we unajua nini mana ya Bani Israel, Qur'an imewatofautisha kati ya watoto wa Yakobo ambao ni Bani Israel na Wayahudi.Ndipo ulipoishiap
Hapo ndipo ulipoishia na kweli umegota hata huwezi kufurukuta nikuulize swali dogo tu ni ambie kwenye Qurani yako Israel imetajwa mara ngapi na niambie kama kuna neno Palestina limeandikwa kwenye hiyo Quran yenu hiyo Kisha jiulize kwa nini!! Nawa juma sana ninyi mmefuzu sana kwenye matusi tatizo lenu mmekosa hoja tu!!
Acha kubwabwaja jibu maswali yangu??Sa mimi nilikuliza swali una kwepa we unajua nini mana ya Bani Israel, Qur'an imewatofautisha kati ya watoto wa Yakobo ambao ni Bani Israel na Wayahudi.
Qur'an hakuna sehemu imesema Taifa la Israel ilicho sema taifa walilo ahadiwa watoto wa Yakobo ambao wapo Waislam, Wayahudi na Wakristo.
Wapalestina ni kizazi cha Bani Israel kizazi cha Yakobo we Kenge mmoja kwa Tarifa yako Palestine ilikuwepo tokea wakati wa Ibrahim sio wakati wa Yakobo tu.
Kenge atabaki kuwa kenge tu.
Picha ya mfungwa wa Kizayuni "Alexander Turbanov" iliyoshikiliwa na Saraya Al-Quds wakati wa moja ya matembezi kwenye mwambao wa Ukanda wa Gaza.
Anavua samaki kwenye ufuo wa Gaza na kuandika barua kwa familia yake.
Huyu kaachiwa leo.
Kuna punguani mmoja humu nimecheka sana jana anaaema Hamas hawataki kuaachia mateka sababu wamekonda sana wanataka wawape chakula wanenepe ndiyo waachilie nikauliza wamekuwa mbuzi😅
View: https://x.com/suppressednws/status/1890504098484531279?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw