Haki ya mtu inaungwa mkono na ulimwengu wote!! Sio Israel anafanya propaganda za uwongo kama awa milokole ya uku kwetu!!!Trump hawafukuze na hawa Wamarekani
View: https://x.com/btnewsroom/status/1890858903883092217?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Lkn ukweli kwasasa upo wazi kuwa Israel ndio ma MAGAID ktk dunia ya Haki!!!! Wamechafuka duniani akuna mfano kuuwa watoto wachanga kumeiletea fedhea kubwa Israel na waungaji mkono wake!!!
Asante aL jazeera kwa kuabalisha ulimwengu na ulimwengu umeelewa msingi wa Tatizo ukiacha awa mbugira mbugira w kisiju!!! na ulokole wao wa chuki uku wanavunja amri ya Sita!!!! Ulimwengu umechangamka kwasasa Umiliki wa MEDIA Q ISRAEL ulikuwa unakazi ya kupotosha Watu Duniani
lkn sasa watu wameshtuka na kujua Ukweli ni upi migaid kinanani!!! Mfungwa anakamatwa akiwa na miguu2 unamwachia na mguu 1 huu ndio Ugaid wanyewe!!
Wangefanyiwa wao ilo daaaa MEDIA zite Duniani zingepewa kazi ya Propaganda na promo!!!! Kuuchafua Uislam